Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Kijana kuoa bila kuwa na kipato cha uhakika uwe tayari kukubali usumbufu na dharau
 
Yaani hawa ndio wanapotosha vijana.Safi sana mkuu,hivi fikiria raha tunayopata tuliyooa upo mezani na mkeo na watoto meza imesheni vinono,angalia watoto wako wavyofurahi na kuwaangalieni kwa jicho la upendo.
AU ona unavyotoka na familia yako shopping mke pembeni yako watoto nyuma yenu,
ETI mtu hajaoa halafu anadai anakula maisha,kula maisha umezungukwa na makahaba!! OENI MFAIDI
Sasa kama wewe umeoa na unafurahia maisha na mkeo na watoto, ya nini kujihangaisha na ambao hawajaoa?

Kwani umeambiwa kinachokufurahisha wewe ndio kitakachomfurahisha mwingine?
 
Upuuzi gani huu.. Eti ili uhesabike Mwanaume wa kweli lazima uoe.. na wakina nani? Kwan wakiniona sio Mwanaume halisi uanaume wangu utapotea?
Acheni kuwaingiza Vijana Mkenge nyie mliooa mmeongezeka mbavu.. Ndoa sio Jambo la mazoea Kama umepata mnaefaana sio Mbaya mkioana Ila sio lazima kila mtu aoe.. Hao wanaume wenyewe wakuoa wakwapi... Wanawake ndo kabisaaa hakuna mzima.. Kila mtu aishi Maisha yake anayoona yanamfaa.. we Kama mkeo wanamla ujue huo umalaya hajauanzia Kwako.. Nguruwe hawezi kua Samaki hata Kama ukimfugia bwawani.. kwanza Nyie mliooa ndo mnaongoza kwa umalaya na uzinzi uliotukuka.. Ni wachafu na hamna uoga wa kuchangia makojoleo kisa mnajifanya mna stress za Ndoa.. ukizaa Binti miaka hii somesha Sana na mlee vizuri ajitambue ili asije akakupa stress badae.. Mabaharia tushaamua hatuoi.. na ukijifanya una mapenzi ya dhati utaambulia Mimba uwe singo Maza.. shubaaaaaameet!!
 
😂😂😂😂😂😂

Hivi ni kwanini wanao lazimisha wanaume kuoa ni wanaume waliooa na wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa?

Wanawake walioenda umri na hawajaolewa wanahisi hilo tatizo limesababishwa na wanaume walio single. Wanajisahau walipokuwa vigori waliwakatalia wanaume wengi waliotaka kuwaoa. Sasa umri umewatupa mkono, uzuri wao unapungua kila kukicha, papuchi zao ni overused wala hazina ladha halafu wanatafuta mwanaume wa kumuuzia mbuzi kwenye gunia.

Wanaume walioko kwenye ndoa wanaumia sana. Walifikiri ndoa ni paradiso, wengi walikurupuka bila kujua nyeusi na nyeupe za ndoa. Wanaanza kutamani maisha yao kabla hawajaoa pamoja na kuwaonea wivu wanaume ambao hawajaoa.

Binafsi ndoa wala sina mpango wa kuifikiria. Sioni chochote kitakachonilazimisha kuoa.
 
Ukimpata wa kufanana nae ndoa itakuwa ni paradiso ndogo...😂😂😂😂....vinginevyo..

Ni jambo jema kuoa kama hali inaruhusu mfano uhakika wa kipato cha kuhudumia familia, utayari wako wa kubeba majukumu vinginevyo utatesa familia tu,
 
Dunia nzima hakuana wa kufanana na Mimi.
Kama ni mwanamke huwa nina vigezo vyangu ambavyo ni wachache mno wanaweza kuwa navyo. Hivyo nilishajiandaa kisaikolojia huenda nikaishi maisha yangu yote bila kuwa na mahusiano ya kudumu ama kuoa,
 
Sasa kama wewe umeoa na unafurahia maisha na mkeo na watoto, ya nini kujihangaisha na ambao hawajaoa?

Kwani umeambiwa kinachokufurahisha wewe ndio kitakachomfurahisha mwingine?
Wewe Ni muongea pumba tu.. Ndo shida yenu Akili zimejaa mapombe tu...kwani swala la kuoa huyu ndo muasisi?.

[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Dunia nzima hakuana wa kufanana na Mimi.
Kama ni mwanamke huwa nina vigezo vyangu ambavyo ni wachache mno wanaweza kuwa navyo. Hivyo nilishajiandaa kisaikolojia huenda nikaishi maisha yangu yote bila kuwa na mahusiano ya kudumu ama kuoa,
Sasa si.unakasoro Wewe..utaishije maisha yako yote bila kuoa..Utakuwa unapumuliwa Wewe...NDO SHIDA MKILEWA MNAZIMA wanawapumulia...
 
😂😂😂😂😂😂

Hivi ni kwanini wanao lazimisha wanaume kuoa ni wanaume waliooa na wanawake ambao umri umeenda na hawajaolewa?

Wanawake walioenda umri na hawajaolewa wanahisi hilo tatizo limesababishwa na wanaume walio single. Wanajisahau walipokuwa vigori waliwakatalia wanaume wengi waliotaka kuwaoa. Sasa umri umewatupa mkono, uzuri wao unapungua kila kukicha, papuchi zao ni overused wala hazina ladha halafu wanatafuta mwanaume wa kumuuzia mbuzi kwenye gunia.

Wanaume walioko kwenye ndoa wanaumia sana. Walifikiri ndoa ni paradiso, wengi walikurupuka bila kujua nyeusi na nyeupe za ndoa. Wanaanza kutamani maisha yao kabla hawajaoa pamoja na kuwaonea wivu wanaume ambao hawajaoa.

Binafsi ndoa wala sina mpango wa kuifikiria. Sioni chochote kitakachonilazimisha kuoa.

Yaan uamuzi wako Ni Kama wangu.. Ndoa Ni Taasisi ya ajabu Sana.. kuingia Raha kutoka shida sana.. it's like an addiction na ogopa Sana vitu vya mtego Kama hivi hua sio poaah.. This is a new era aisee... Inabidi Jamii ielewe Kwamba Vijana swala la Ndoa Ni Maamuzi binafsi.. Kama ambavyo mtoto wa kike hapaswi kulazimishwa pia hata Mwanaume asilazimishwe..
 
Sasa si.unakasoro Wewe..utaishije maisha yako yote bila kuoa..Utakuwa unapumuliwa Wewe...NDO SHIDA MKILEWA MNAZIMA wanawapumulia...
Mbona una hasira hivyo?....kwani hakuna wanaume walioishi bila kuoa? Je walikuwa na kasoro au walikuwa wanapumuliwa?
 
Wengi huoa wakiwa wazee na kuwaacha wake zao na vitoto vyao vichanga ...yatima.

Hizo ndo type zenu... Mnakataa ukweli but deep down mnajua mnaitaji kuwa na familia zenu
 
Yaan uamuzi wako Ni Kama wangu.. Ndoa Ni Taasisi ya ajabu Sana.. kuingia Raha kutoka shida sana.. it's like an addiction na ogopa Sana vitu vya mtego Kama hivi hua sio poaah.. This is a new era aisee... Inabidi Jamii ielewe Kwamba Vijana swala la Ndoa Ni Maamuzi binafsi.. Kama ambavyo mtoto wa kike hapaswi kulazimishwa pia hata Mwanaume asilazimishwe..
Mwanaume halazimishwi kuoa... Ana shauriwa kuoa... Na ushauri Sio lazima uukubali Mkuu...

Sasa huwa sielewi hamtaki kuoa ila mazaa na kila mwanamke..alafu mnakuja kuwatukana masingle mother..

I wonder Akili zenu
 
Wengi huoa wakiwa wazee na kuwaacha wake zao na vitoto vyao vichanga ...yatima.

Hizo ndo type zenu... Mnakataa ukweli but deep down mnajua mnaitaji kuwa na familia zenu
Me akitaka kuoa ni rahisi tu ni kama kufumba na kufumbua macho. Tofauti na Ke ambaye ndoa kwake ni ngekewa. Wewe mwenyewe angekuwepo bwana wa kukutaka hata uwe mke wa nne saa hizi ungekuwa kifuani kwa mtu. Usingekuwa unatema stress online miida hii ya usiku.
 
Aiseee... Hivi unajuwa maisha yangu ya online ya Real Ni Tofauti Sana[emoji3][emoji3][emoji3]

Duuh..kweli haya Mkuu Tufunge mjadala.

Tukutane kwenye thread Nyingine...ngoja nikanywe maji ya limao kitambi changu kimeanza pungua[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwahiyo maisha yako hayajulikani ila ya wengine wewe ni fundi wa kuyajua?

Hebu nenda kalale utunze hiyo mimba isiyokuwa na ukomo wa gestation period.
 
Sasa si.unakasoro Wewe..utaishije maisha yako yote bila kuoa..Utakuwa unapumuliwa Wewe...NDO SHIDA MKILEWA MNAZIMA wanawapumulia...
Katika Ulimwengu wa Elimu, wapo Wanachuoni ambao wamekufa bila kuoa, ila wao sababu zilikuwa zina nguvu sana kuliko hawa wa zama hizi. Kwahiyo si sahihi kumuhukumu mtu moja kwa moja kama hajaoa ya kuwa atakuwa anapumuliwa kisogoni, mpaka uwe na ushahidi wa hilo.

Lakini wapo watu ambao kisheria ni haramu kuoa (Japokuwa hili lina maelezo). Kisheria Khanithi ni haramu kuoa, na Khanithi si yule mwenye kuingiliwa kinyume na maumbile.

Kwahiyo, kijana wa zama hizi tukimuona hajaoa, lazima tukae nae chini tumuhoji, ila hatumpi lawama mpaka atakapo tubainishia sababu za kuto kuoa.

Mimi, binafsi siwezi kuishi bila mke.

Ahsante.
 
Mkuu...hili halikua la watu wote lilimlenga mtu.mmoja TU.
 
Back
Top Bottom