Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....kwakweli Bora umeliona Hilo mapema.
Sasa wewe nikikuoa tofauti na papuchi nitafaidi Nini coz mwanamke hawezi kukufulia , nini Cha ziada nitapata...na hata papuchi nitapata chini ya kiwango.
 
Mkuu unadhani aliyetuumba alikuwa mjinga?.Kwa nini aliumba ke na me? hakuishia hapo akatupa akili na utashi lakini wanyama kawapa akili tu? Au kwanini ameweka umri wa kupevuka
Hapa ni kuoa tu!
Ni akili na utashi kusema vijana oeni ili muhesabiwe kama wanaume???
 
Mkuu wababe wengi waliowika dunia hii walioa/wameoa
HITLEH,NAPOLEON,ALEXANDER,PUTIN,TRUMP,DUTERTE,JINPING,MAGUFULI,LISU,MBOWE,NYERERE,MUGABE,KIKWETE,MZEE MWINYI,MKAPA.GADAFI,NETANYAHU hata yule mtukutu wa korea kaskazini kaoa.
Hapo sijawataja akina mswati ,mfalme DAUDI, SULEIMAN,NEBKADNEZER
Hapana oeni tu hamna visingizio
Je walioa ili tu wahesabiwe kama wanaume!??
 
Ndiyo,ni akili na utashi,kumbuka unapukuwa mwanaume siyo jinsia tu,kuna mambo yanaambatana na uanaume kama vile ujasiri,uongozi,uwezo wa kupambanua mambn
Sasa kama we unamwogopa mwanamke tena siyo kupambana naye kushirikiana naye tu kujenga familia unataka tukutambue kama mwanaume? labda wasiojitambua
 
Hatuoi ili kujionyesha,ila ni sehemu ya ukomavu
kwa mwanaume
 
Hatuoi ili kujionyesha,ila ni sehemu ya ukomavu
kwa mwanaume
Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe! Hii ndiyo kauli yako kwamba tuoe ili tuhesabiwe,tutambulike kwa maana nyingine.
Ukinambia tena hatuoi ili kujionyesha ntauliza tuhesabiwe kama wanaume na nani??.

Na moja ya njia ya kupima ukomavu wa mwanaume ni hii umeingia kwenye ndoa kwasababu zipi??? Wewe jibu lako tayari limejieleza kuwa ili uhesabiwe kama mwanaume. Hii ni njia ya kupima ukomavu wa kijana kweli....
 
Nilifikiri tulishavuka hii stage ya kuwaaminisha watu tunayoyaamini.
Kwa hiyo we binti yako akizalishwa hovyohovyo utaona sawa tu au kijana wako wa jinsia ya kiume awe anajaza mimba hovyohovyo utaona sawa tu?
(assume umeoa na una watoto)
 
Ndiyo,ni akili na utashi,kumbuka unapukuwa mwanaume siyo jinsia tu,kuna mambo yanaambatana na uanaume kama vile ujasiri,uongozi,uwezo wa kupambanua mambn
Sasa kama we unamwogopa mwanamke tena siyo kupambana naye kushirikiana naye tu kujenga familia unataka tukutambue kama mwanaume? labda wasiojitambua
Ukiingia kwenye ndoa kisa tu uhesabiwe we mwanaume tayari hapo ushakosa ujasiri!...

Je tunapata kiongozi gani hapo kama ameshindwa kufanya maamuzi yake binafsi na kafanya maamuzi ili ahesabiwe yeye ni mwanaume na jamii iliyo mzunguka..

Umekwisha iogopa jamii kwa kuoa ili uhesabiwe mwanaume je uyo mke uko ndani itakuwaje sasa kama sio kila siku kuja kulalamika mitandaoni mke wangu simwelewi
 
Mkuu wanawake nao ni binadamu hivyo nao wana akili na uwezo wa kufikiri.Sasa wewe kama mume unatakiwa uwe na akili zaidi ili umwongoze,
Ukiweza hilo hata HALIMA MDEE na hao unaodhani vimeo unawaoa sababu wana akili
NA utambue kila mwanamke kuna namna wya kumuongoza
 
Back
Top Bottom