Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 4,929
- 7,927
Umenena vema mkuu.
Waendelee kula maisha siku wakioa ndio watakuwa wanaume halisi.
Waendelee kula maisha siku wakioa ndio watakuwa wanaume halisi.
Mkuu yamejikita kwenye dini na mi s4i1. Je mapadri sio wanaume halisi?
2. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.
Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?
NB: Naomba unijibu maswali yote.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mkuu maswali yamejikita kwenye maandiko,nitashindwa kuyajibu.Ila kuna wabobezi wa theolojia humu wanisaidie,ila kuna andiko linasema 'mfurahie mke wa ujana wako'1. Je mapadri sio wanaume halisi?
2. Je ni kifungu gani cha bilblia kina LAZIMISHA watu wao au waolewe?
3. Je kifungu gani cha katiba kinalazimisha mtu aoe au aolewe?
4. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.
Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?
NB: Naomba unijibu maswali yote.
Mkuu wengine tumeoa na mambo yakazidishiwa baraka..maneno yako yatazidi kuwaharibuAcheni vijana wajipange kwanza maisha yamebadilika....then ndo waoe kukiwa na ulazima,
Kuoa mapema utajichelewesha malengo yako kama kijana....otherwise you will end up kuwa frustrated tu,
Jenga kwanza Carrier/stable stream of income+komaa kiakili +kula ujana mpaka ukinai then vuta binti Wa watu tulia naye mpaka kifo +sio uko na mtoto wa watu mara sijui ndo unataka kwenda shule(kujiendeleza) mara unaanza biashara(kuna ups and down) mara ndo unataka uchukue mkopo ununue kagari au kiwanja ,mara umeona pisi kali unaitamani ...its a bullshit utatesa binti wa watu
15 mkuumkuu ndoa yako ina miaka mingapi ?, maana mnaanzaga hivyo hivyo ..
Ukioa ndo unapata Baraka. Unaweza fanya yote hayo kirahisi na kifanisi ukiwa ndani ya ndoa.Acheni vijana wajipange kwanza maisha yamebadilika....then ndo waoe kukiwa na ulazima,
Kuoa mapema utajichelewesha malengo yako kama kijana....otherwise you will end up kuwa frustrated tu,
Jenga kwanza Carrier/stable stream of income+komaa kiakili +kula ujana mpaka ukinai then vuta binti Wa watu tulia naye mpaka kifo +sio uko na mtoto wa watu mara sijui ndo unataka kwenda shule(kujiendeleza) mara unaanza biashara(kuna ups and down) mara ndo unataka uchukue mkopo ununue kagari au kiwanja ,mara umeona pisi kali unaitamani ...its a bullshit utatesa binti wa watu
Nani kakudanganya ukioa hauli ujana.Kwa taarifa yenu si ndo tunakula maisha na kufaidi kuliko nyinyiUmenena vema mkuu.
Waendelee kula maisha siku wakioa ndio watakuwa wanaume halisi.
Waeleze kaka,wanaaminishana upuuzi.Kama kula bata hawatupiti tuliooa,kutafuta ndio usisemeUkioa ndo unapata Baraka. Unaweza fanya yote hayo kirahisi na kifanisi ukiwa ndani ya ndoa.
Woga wako tu,mimi mafanikio nimepata baada ya kuoaHakikisha una hela kama bwawa la Mtera kabla hujahangaika na ndoa.
Mkuu tukiinua tu mguu kwenda kujenga taifa unapishana na vijana wamevaa nguo za dada zao wanaelekea mtaani kwetu kuwazengea binti zetu ama wake zetu,wanakera sanaHahaahhaaaa
Huu uzi mnaitwa vijana wote msioa mkutane hapa kaka yenu hataki kuendelee kugongewa mke wake,oeni na nyie mtulie na wake zenu[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Baada ya kuoa eeh, we ulipata mke mzee!Woga wako tu,mimi mafanikio nimepata baada ya kuoa
Mkuu tukiinua tu mguu kwenda kujenga taifa unapishana na vijana wamevaa nguo za dada zao wanaelekea mtaani kwetu kuwazengea binti zetu ama wake zetu,wanakera sana
Ukiwa una uhakika wa maziwa sidhani kama Kuna haja ya KUFUGA NG'OMBE..!!Na Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
hongera sana mkuu ..15 mkuu
Ndio maana na akili yako ina hitilafu.Mkuu...Dini yenu kwangu Mimi naiona Sio Dini...kwaiyo hayo yote ulio andika naona Ni Mambo y ajabu
Na Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Mwanaume amezaliwa kiongozi hivyo yako ikiwa fasheni inabidi uvae uanaume wako,onyesha njia mkeo atafuata hata kama mkeo ni waziriHili nawaambia mara nyingi mkuu. Kuoa au kuolewa sio lazima. Isitoshe kuoa kwa siku hizi ni kama fashion tu sio kwamba watu wamekuwa wamependana,na ndio maana ndoa hazidumu. Kwanza kuoa ni kujitafutia kifo cha mapema kwa strees