Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
mkuu utakuwa umechapiwa mke na kabodaboda
Sawa mkuu....Ukiwa una uhakika wa maziwa sidhani kama Kuna haja ya KUFUGA NG'OMBE..!!
#YNWA
Mkuu samahani msifikie huku kwenye kudhalilishiana imani kwani hata imani hizo zote zinasapoti mada yanu.msamehe
Wapo wengi..tatizo mnaweka vigezo vingi....wanawake wakawaida kabisa wapo na wanatafuta Mume...nyie mnataka Pisi kali sanaWanawake wa kuoa yaani adim balaa
Mkuu hoja dhaifu...kwasababu watu wanafeli wote Tuache kusoma...Ndoa nyingi Ni nzuri...mbaya Ni chache.Duh kuingia kwenye ndoa kipindi hiki ni kuingia kifoni..
1. Kuna Dada humu amebadilisha ID (Pisikali) anasema ana miaka 14 kwenye ndoa, halafu kaja kumsifia mchepuko wake anandinya kuliko mumewe.
Yaani anakitukana kitandani cha mumewe kwasababu ya mngoni..!!!
2. Kuna mtu humu kaleta uzi "rafiki yake kajua mumewe ana watoto wa 3 wa nje"
Yaani kwenye ndoa SIRI KAMA ZOTE.
3. Huku kitaa Kuna mwamba kakondaa kisa mkewe analiwa na bosi wake.
Isitoshe jamaa alitumbuliwa vyeti feki, hivyo mkewe ndio kawa main family income player. ANAYOPITIA HUYU JAMAA KWASASA, NDOA NI BALAAA.
4. Kuna mwamba alileta uzi, mjomba ake alioa single mother.
Jamaa akayumba kiuchumi "eti single mother kakimbia nyumba"
Hiyo ndio ndoa.
5. Nina Dada angu (family friend) Kila siku analeta matatizo home juu ya mumewe; mara malaya, mara mlevi, mara katumia hela za mipango ya familia hivyo, mara.....
Huyu Dada alikua na zinga la duka mtoni mtongani.
Mumewe kalifilisi loteeee.
NDOA HIZOOO
angekua single nadhani angekuwa tajiri mkubwa sanaa... Maana lilikuwa bongee la duka
6. VISA NI VINGI AISEE.
NDOA HAZIELEWEKI.
Single is free of stress.
#YNWA
Bora kuishi ki bachelor kama Bwana wetu Yesu Kristu kuliko kuolea kijiji.Hapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John,Rashid nk.
Kumekuwa na kundi kubwa la vijana tena linaongezeka siku hadi siku ambalo halitaki kuoa.Ukiwauliza watakuambia bado wanajipanga,sijui wanatafuta pesa,mara ooh mabinti wa siku hizi
sio kabisa na majibu mengine kemkem
Lakini haohao ndio utasikia wanazengea shemeji zao(wake zetu tuliooa)kama sio mama zao.Mtu akija humu na uzi kala jimama/mke wa mtu basi ujue tayari washatuibia wake zetu,
Na ndio hawa hawa wanaharibu binti zetu kisha kuwaita 'single mother'
Kujihalishia ujinga wao wamejipa jina baharia,
Kutokana na ujinga wa kutotaka kuoa ndio maana
~mnajikuta mnavaa suruali za dada zenu.
-mnajichubua
-vyumbani kwenu kuna dressing table zilizotapakaa poda lotion,injofesi na mazagazaga ya dada zenu
-mnavua nguo zote mnapopaka mafuta na mnapaka mwili mzima ulisikia wapi
-meseji zenu kwenye simu ni kama hao dada zenu zimejaa 'x' na 'c'
-mnasababisha vijana wa jinsia tofauti waongezeke kujiuza au kututaka sisi kaka zenu ili watuvunjie ndoa zetu
-nyinyi wenye kuwa mashoga au kuolewa mimama iliyoshindikana na kupelekea kupewa nuksi au maradhi
OMBI:Kuepukana na hayo muoe kwani ili uwe mwanaume halisi ni lazima uoe,na utakuwa bora zaidi huyo utakayemuoa uzeeke naye pamoja na shurba zote atakazokupa
-Oa ili utengeneze msingi bora wa familia na taifa
-Usimsikilize yeyete atakayekuambia ndoa ngumu sijui nini,huyo hataki wewe uje ufaidi tunayofaidi sisi huku
JIULIZE:Kwa nini baadhi ya vyeo ni mpaka uwe umeoa? ukipata jibu na ndio lengo la uzi wangu
Sasa ..Kama hamuoi..wanawake watafanyaje..Ndo muoe SasaNa mwanamke kamili ni yule aliyeolewa
Pole...mkuu Kama umekasirika, umeuliza umejibiwa.
Hawa vijana wa jiji la kunenge wanasumbuliwa na baridi mkuu, hapo kwenye mwanaume halisi😂😂1. Je mapadri sio wanaume halisi?
2. Je ni kifungu gani cha bilblia kina LAZIMISHA watu wao au waolewe?
3. Je kifungu gani cha katiba kinalazimisha mtu aoe au aolewe?
4. Sisi kama wakristo tuna fwata mafunzo ya Yesu na mitume wengine kama mtume Paulo.
Lakini kiuhalisia ni kwamba hawakuoa je nao unawasemeaje?
NB: Naomba unijibu maswali yote.
Wanatakiwa waoe tu hamna namnaHawa vijana wa jiji la kunenge wanasumbuliwa na baridi mkuu, hapo kwenye mwanaume halisi😂😂
Mkuu waache wajipange wakioa bila kitu mfukoni wataona ndoa chungu.Wanatakiwa waoe tu hamna namna
Ukioa hautauliza swali hili,kwa uchache soma post#52Hainisha apa mkuu. Unafaidi kipi ukiwa ndani ya ndoa ambacho mtu akiwa nje ya ndoa hakipati?
Woga wako tu,mimi mafanikio nimepata baada ya kuoa
Mkuu tukiinua tu mguu kwenda kujenga taifa unapishana na vijana wamevaa nguo za dada zao wanaelekea mtaani kwetu kuwazengea binti zetu ama wake zetu,wanakera sana
Mkuu wakikaa sana wanaishia kuwajaza mimba wenzao kisha hawaudumii,au wanaishia kunyang'anyana vipodozi na nguo za kubana na dada zao,.Mkuu waache wajipange wakioa bila kitu mfukoni wataona ndoa chungu.
😆😆 Sawa sawaMkuu wakikaa sana wanaishia kuwajaza mimba wenzao kisha hawaudumii,au wanaishia kunyang'anyana vipodozi na nguo za kubana na dada zao,.
INAFIKIA HATUA KHADIJA NA RICHARD wamefuatana wakiwa umbali wa mita 50 kutoka ulipo huwezi watofautisha mpaka wafike mita 5 ndio utajua kumbe kuna Khadija na Richard.kabla ya hapo wote walionekana kama Khadija na Jesca
Hapana,WAOE TU.
Mkuu hawa vijana wanaogopa bure tu,wakioa ndio watakuwa wanaume halisi manake sasa hivi wana jinsia tu ya kiume ambayo hata beberu,fahali wanazoHahahaha kaka basi waambie waoe wanawake wanaowaonea huruma...
Maanake ukioa mwanamke hana huruma na wewe ndo upo job unatesekea familia yeye yupo busy na wabana suruali...
Vijana wakula sana wake zetu kiasi kwamba wanaogopa wakioa na wake zao wataliwa...
wanakujaHapa nawaongelea hawa vijana wenye majina ya kiume kama John,Rashid nk.