Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vijana ili uhesabiwe mwanaume ni lazima uoe

Vijana wa siku hizi tuna jifanya wajuaji,lkn ule utaratibu wa wazee wetu kumtafutia mke kijana wao ulikuwa mzuri sana,wazee wetu walikuwa wanajua kuchagua mwanamke aliye kamilika hasa kitabia,wanachunguza mpaka tabia za huo ukoo kama hazifai wanaenda kwa mwengine.

Ila siku hizi ni fujo mtindo mmoja ni mwendo wakulamba galasa tumesha jizoesha wenyewe tunakutana ,tunatongozana baadae inapiga mechi unakaa kidogo unagundua mwenzio kumbe kichomi.

Yaani Magalasa yapo mengi sometimes basi upate hata mzungu wa pili ,huku unajipa moyo nita mtengeza ili awe jike kamili wapi wendo wa magalasa.
Tatizo vijana siku wengi kama huna PHD basi 'masters'mtanirekebisha kwenye spelling.Ukiwa mburula basi una degree.sasa mjue kwamba ukiwa mwanaume ni zaidi ya hayo
 
Nani aliyekuambia ukioa unapata utulivu? Jitahidi kupunguza ukali maneno
Ukiona hupati utulivu kwenye ndoa jitathimini uanaume wako
Kuna mtu alileta uzi 'KAMA NDOA IKIVUNJIKA MWANAUME NDIO WA KULAUMIWA'
yupo sahihi mkuu
 
Na Mimi..nashangaa mtu anakuja na bandiko eti vijana wachelewe kuoa..Yaaani unachosubiria Nini...unakipato Cha kawaida..kwanini usioe..
Mwanaume kamili Ni yule.mwenye mke
Nani kasema mnakosea Sana aise
 
Utahesabika na nani?
Ndio maana ili uwe mwanaume halisi,vinginevyo we utahesabika kama una jinsia ya kiume tu na utakuwa kijana tu kama akina OMARY.HANS NA HATA ROZI AU AMINA
 
Namaanisha uanaume ni zaidi ya PHD,MASTERS au degree
Nimetumia neno kujua sija maanisha level ya elimu...... Bali nimemaanisha kuwaona wazee wetu hawana kumbe kwa kiasi kikubwa walikuwa sahihi ktk Kyra tafutia wenza vijana wao.
 
Nimetumia neno kujua sija maanisha level ya elimu...... Bali nimemaanisha kuwaona wazee wetu hawana kumbe kwa kiasi kikubwa walikuwa sahihi ktk Kyra tafutia wenza vijana wao.
Mkuu nilikuelewa vizuri kwenye post yako na upo sahihi..
Mi nilikuwa nakazia tu
 
Jua kutofautisha kati ya "fact" na "opinion".
 
Back
Top Bottom