Tafuta mtu wa kukutuma pale me nilipewa passport siku 2 trust me na sikuandika documents yoyote vyote waliandika wao wakiniuliza kwenye simuKuna watu wanachukulia kila kitu easy kupata passport Tanzania sio rahisi kama mnavyofikiria kama ww ulipata ki urahisi basi ilikuwa bahati yko tu ila wale wanapenda hela kama hawalipwi mishahara.
Andika affidavit itasimama kama vyeti vya wazaziUkishakuwa na kitambulisho cha kuzaliwa au cha uraia upewe passport yako.....
Sasa vyeti vya kuzaliwa vya wazazi navitoa wapi sasa hivi
Mkuu inafanyika vipi hii mambo..... ThanksAndika affidavit itasimama kama vyeti vya wazazi
Ni cheti ama hati ambayo hutumika badala ya cheti cha kuzaliwa. Huwa kama kiapo flani nadhani ukitumia mwana sheria atakusaidia kukuandikia vzuriMkuu inafanyika vipi hii mambo..... Thanks
Mkuu mimi nilikuwa na documents zote na kila nilikamilisha ila nilichelewa kupata passport japo nilifanikiwa ila nilichelewa kuipata ww ulibahatika mkuu.Tafuta mtu wa kukutuma pale me nilipewa passport siku 2 trust me na sikuandika documents yoyote vyote waliandika wao wakiniuliza kwenye simu
Tatzo pale watumishi wanajiona kutoa passport kama ni hisani yao hakuna nidhamu KILA mtu anataka tengeneza mazngra ya kupga pesaMkuu mimi nilikuwa na documents zote na kila nilikamilisha ila nilichelewa kupata passport japo nilifanikiwa ila nilichelewa kuipata ww ulibahatika mkuu.
Mkuu siyo kila homa ni malaria mambo yamebadilika...nipe na mm fursa nije hapo elimu degree na nauli ninayo ya kunifikisha shida ni mchongo wa kupata visaKutoka thd za kuponda wabeba box mpaka thd za kushauriana kutafuta fursa za kwenda kubeba box nje,
Kweli muda ni muamuzi mzuri sana,
Nakomaa na box hapa kwa Malkia.
Sawa mkuu.....Ni cheti ama hati ambayo hutumika badala ya cheti cha kuzaliwa. Huwa kama kiapo flani nadhani ukitumia mwana sheria atakusaidia kukuandikia vzuri
Mkuu wazo lako ni zuri ila huoni kuna haja sisi vijana kuchangamkia fursa zilizoko humu humu nchi mfano fursa za kilimo,ufugaji,biashara ndogo ndogo za kati na kubwa,uchimbaji wa madini (urithi wetu kabisa) kuliko kukimbilia njeMhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara za kuvuka mpaka, wazeni kuajiriwa Duniani.
Mnatafuta distinction za Nini kama fikra zimeishia dar? Maisha ya Dar ndiyo yakufanye usote ukisoma bila kulala? Unapata first class anateuliwa lower second? Unapata first class ujui hata mwonekano wa passport, hapana tukatae utumwa tutembee tuache mji upumue.
Naandika haya baada yakuona tatizo la ajira nchini, hakuna namna utumishi wa umma ulio na uwezo wa kuajiri less than one milioni utafanikisha kiu ya wataka ajira. Acheni kupoteza muda, ondoeni fikra za kupata life Tanzania pekee wazeni nje.
Vijana wakitoka Kwa wingi watapata ujira nje na kutuma fedha zitakazotumika kama mitaji Kwa ndugu zao , vijana wakitoka Watanzania watapata pakufikia HUKO nje. Tutoke
Dar imejaa kila mwanafamilia nchi Hii, hakuna mwenye hofu ntafikia wapi dar maana kila Kijiji kina mtu dar, kwanini tusiamue kuwa na mwanafamilia kila mji Duniani? Tunaweza tuanze Sasa. Tutoke
Tumfate Mkuu wa Uhamiaji atupe pasipoti zetu ambazo amekabidhiwa akae nazo akisubiri tufike watupe, tumpunguzie jam mama Samia Kwa kusambaa kuliko Sasa kila wakati tunampigia kelele atuajiri. Tutoke.
Kama tulivyo wakarimu ndivyo na wenzetu walivyo, tuondoe hofu maana Mabalozi wapo Duniani kote wanalipwa fedha kutulinda tunapoonewa. Tutoke.
Kampeni Hii iwe chachu ya watawala kuwakumbusha vijana wajibu wao wa kutoka , iwe kampeni ya vyuo kutoa elimu ya kujitegemea HUKO nje, ndani tumejaa. Iwe kampeni ya nchi katika kukuza Diplomasia na kupanua mapato yatokanayo na Watanzania waishio nje. Tutoke.
Tunao madaktari na Manesi, tunao vijana wa IT ambao kwa wingi wao tumeshindwa kuwaajiri. Tuwasaidie watoke wakafanye kazi nje mwisho tutawaita wakiwa tayari wamebobea na nimadaktari bingwa. Vijana tokeni
ndugu kwema...huu mchongo upoje aiseeNa mimi niliwashauri nikawaonyesha na fursa Canada,Kazi zinatafuta watu.
HIi ya kusubiria Tzn tuu ni undezi,wenzetu wako kila pande ya Dunia wanatafuta fursa.