Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Vijana Kariakoo wanapotea sana, Serikali iingilie kati

Kuna wengine wanawatapeli wachina.
Wanapewa mzigo kwa mali kauli kutoka china alafu wao kazi yao ni kuwarejeshea sehemu ndogo ya faida.
Lakini hawafanyi hivyo

Sasa uliona wapi tajiri asiye na genge la wahuni?
aisee kumbe mambo ni mengi

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Matajiri wa Kariakoo hawaibiwi na kutapeliwa Kizembe. Na ndio maana Vijana wanapotea kizembe kwa tamaa zao.
Matajiri wengi wana magenge ya kuku monitor wewe uliyechukua mali ya Tajiri, ukileta janja janja lazima upotee tu.
Kwa mfano unachukua mali kauli kwa tajiri
Alafu anakutumia chawa? Kukumonitor huko sokoni
 
Back
Top Bottom