Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,584
- 12,461
aisee kumbe mambo ni mengiKuna wengine wanawatapeli wachina.
Wanapewa mzigo kwa mali kauli kutoka china alafu wao kazi yao ni kuwarejeshea sehemu ndogo ya faida.
Lakini hawafanyi hivyo
Sasa uliona wapi tajiri asiye na genge la wahuni?
Kivipi mkuu embu fafanuaHapo Kariakoo watu ni bidhaa yenye thamani kubwa kuliko mazagazaga mengine yote kuweni makini vijana!
Kwa sasa ni kama kawaida haswa vijana waiza sim waleSehemu yoyote yenye mzunguko mkubwa wa watu lazima mengi ya tokee.
Ila uaminifu unaweza kukulinda na mengi.
Kimsingi wanakua wamekosa uaminifu kwenye biashara,so waluotiwa hasara huwapotezaDuh sijaelewa.
Hii issue inapelekea vipi vijana kupotea?Mali zinazoibiwa mbali unapewa uuze lakini kwa mali kauli.
Vijana wengi sio waaminifu
Wanapelekwa wapi hawa vijanaNimesikia pia aisee
Kariakoo ni zaidi ya tuijuavyo
Hatari hiiMkinga au Mpemba ukikimbia na mzigo wake anakupoteza tu chaap.
Click hiyo picha hapoMasai dada umeamua ku jog vichwa vyetu?
Ujanja janja wa kijingaShida vijana kitanzania nao waache ujanja wa kizamani Wana utapeli wa kijinga sana kama umewahi fanya biashara utawajua
MuhimuKuna wengine wanawatapeli wachina.
Wanapewa mzigo kwa mali kauli kutoka china alafu wao kazi yao ni kuwarejeshea sehemu ndogo ya faida.
Lakini hawafanyi hivyo
Sasa uliona wapi tajiri asiye na genge la wahuni?
Acha kulilia jero,Jenga nchiHaya ya luku mmeyaona ndugu zangu
Kwa mfano unachukua mali kauli kwa tajiriMatajiri wa Kariakoo hawaibiwi na kutapeliwa Kizembe. Na ndio maana Vijana wanapotea kizembe kwa tamaa zao.
Matajiri wengi wana magenge ya kuku monitor wewe uliyechukua mali ya Tajiri, ukileta janja janja lazima upotee tu.
Badala ya kusonga ugaliHuyo kasonga mbele
Chuo gani HICHO kina kinafika GPA ya 7 wakati GPA ya juu ni 5?GPA ya 7