Kuna laana nyingine za kujitakia. Vijana kuweni na busara๐ช๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟJana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa.
Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu.
'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA UJANANI USITULETEE... Duh nilishtuka sana nikaishia zangu.
Aisee inawezekana kweli mzee kakosea ila kuna njia nzuri ya kuongea na mtu mzima au mfanyakazi wako na sio lugha kama hizo. Kijana mdogo namna ile kumtukana mzee ambae anaweza kuwa baba au babu yake si sawa. Kuna laana nyingine za kujitakia. Vijana kuweni na busara.
Haswaaa!Jana jioni nilikuwa nafanya mazoezi(jogging) nikapita barabara moja kuna ghorofa linajengwa.
Nikasikia kijana mmoja (27-30yr) anafoka na kutukana kwenye simu.
'WEWE MZEE SIKU YA PILI LEO NAFIKA HAPA UMEACHA LINDO. HUO UZEE WAKO MIAKA 70 ISIWE KIGEZO KUTUSUMBUA. KAMA ULITUMIA HELA ZAKO VIBAYA UJANANI USITULETEE... Duh nilishtuka sana nikaishia zangu.
Aisee inawezekana kweli mzee kakosea ila kuna njia nzuri ya kuongea na mtu mzima au mfanyakazi wako na sio lugha kama hizo. Kijana mdogo namna ile kumtukana mzee ambae anaweza kuwa baba au babu yake si sawa. Kuna laana nyingine za kujitakia. Vijana kuweni na busara.
AbsolutelyUkipata pesa ndio tunajua tabia yako.
Mkuu Mshana Jr kuna ukweli hapa?Kuna laana nyingine za kujitakia. Vijana kuweni na busara๐ช๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Kama mimi natukwana na vijana wadogo kila inapoitwa leo ,๐๐Hata humu jf, vijana wa gen Z wanatoa matusi hadi kwa wazee wao.
Tumezoea! Kwani akikutukana ndipo unakuwa tusi. Ni neno kama maneno mengine.Hata humu jf, vijana wa gen Z wanatoa matusi hadi kwa wazee wao.
Ni kweli kuna wazee wanazingua ila tujizuie kidogo.