Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

Kama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee
Usipotoshe watu ni miaka 12 tuu unavuna,nakumbuka kipindi nipo Moro nilipewa hilo dili ndio hivyo sikuwa na mshiko,ss hivi ni mwaka wa 7 toka nipewe hilo dili je ningezingatia ingekuwaje,kwa kifupi hio miti ndio inatumika kutengeneza ma boat ya kifahari huko ulaya,mbao yake ina uwezo wa kukaa kwenye maji miaka 99 bila kuharibika
 
Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na Rais na kusubiria ntantalila za CCM

Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki

Ingieni mtafute maarifa ya huu uwekezaji! Watu wengi wanafanya hiki kilimo wanapata fedha nyingi

Maeneo ya kununua mashamba ni mengi kwa wilaya ya Kilombero na Ulanga...!ardhi kule ipo fertile

Sasa cha kufanya ni wewe kwenda na kutafuta ardhi ununue hapa inategemea na maeneo na approach yako lakini hazidi laki 3@acre mbegu na kupimiwa shamba unapata bure kutoka kwa kampuni ya mitiki..!

Changamoto ni kuisimamia toka unapopanda hadi 3yrs toka uipande ..!kuanzia hapo haina changamoto sana..mie maneno mengi sina..tutafute hela jaman..tuwekeze..
miaka mi8 sio mingi kbs kbs ..!

Shime Watanzania! Tukutane2030[emoji4]

Nb.Kama upo serious pm me nikupe namba ya mhusika wa KILOMBERO TEAK CO.akupe mwelekeo!

Tofaut na mikoa iyo inaeza ikalimika!??
Mm nataka nikaiweke mkoa w lindi vp inaezekana?!??!....
 
Mkuu miaka 8 uliyo ambiwa ni ulaghai tu wa kibiashara kukushawishi usikate tamaa.

Ukweli ni kuwa mtiki wa kisasa unaovunwa kibiashara unachukua miaka 20 hadi 25 kuvunwa.

Nenda kafanye utafiti huru na mitandaoni au idara ya misitu.

Mtiki unaokuwa vizuri wanasema unaongezeka kwa nchi 8 kwa siku. Labda hiyo 8 waliyo kuambia ndio hii lakini wameigeuza wauze mbegu n.k.
Pia unakuwa unawatunzia ardhi yao wasinyang'anywe na serikali kwa miaka hiyo yote ionekane inaendelezwa huku ardhi yao ikipanda thamani.

Hapo jamaa wanapiga pesa ya mbegu n.k.
Duh Kuna watu wanamoyo sana.
Kusubiria mazao kwa muda wa miaka 20 si unavuna na kuuza wakati huo umeshazeeka!
Sasa sijaelewa ktk miaka hyo 20 yote unakuwa unalihudumia shamba au ukishaotesha tu ndio basi inakuwa yenyewe?
 
😊😊😊ficha ujinga wako mkuu..mbegu ni bure..jitahidi uwe unatafta maarifa....muone!
 
Vipi kuhusu maji? au mvua mmoja tu kama ya masika inatosha kuotesha, ama kuna ulazima wa kuwa na machine ya maji kwa ajili ya umwagiliaji kipindi cha ukuwaji wa miti?

Haiihiatj kùmwagilia.unashauriwa upande kipindi cha mvua
 
Duh Kuna watu wanamoyo sana.
Kusubiria mazao kwa muda wa miaka 20 si unavuna na kuuza wakati huo umeshazeeka!
Sasa sijaelewa ktk miaka hyo 20 yote unakuwa unalihudumia shamba au ukishaotesha tu ndio basi inakuwa yenyewe?

Hahaha ww una kila dalili ya ubinafsi..mzee wangu ana 76..lakini amepanda hekari na hekari ..automatic anatupandia sisi na watoro wetu ..thouugh 7/8yrs sio mbal
 
😊😊😊ficha ujinga wako mkuu..mbegu ni bure..jitahidi uwe unatafta maarifa....muone!
Sawa mkuu. Ujinga ni sehemu ya kujifunza.
Basi fuatilia na ukweli kuhusu muda wa kuvuna uje utupe elimu mimi na wote tusio kuwa na taarifa sahihi.
 
Had nikaleta huku mkuu nimetembea kweli kweli
 
sasa ukiambiwa kukurupuka ndo huk ndugu yangu..ina maana toka pg ya 1 hujaona muda wa kuvunwa mkuu!
alafu mie nilitoa tu ushauri...nikaona nizao ambalo halina stress...na nimelenga zaid kwa watu wa pwani...ni rahis kwao kuliko kulimbilia njombe kununua pines ..!lol

Aseee!! Mefatilia mjadala huu kwa kina nakuelewa kinaga ubaga! Kumb ni ukanda wa bahari inakua vizuri...
 
Kama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee

..upo sahihi! Mitiki ukivuna mapema sana no 30yrs . Lkn sii mradi wa kuacha maana Kazi Kubwa ni kweli ni ya miaka 3-4 ya mwanzo baada ya hapo gharama za utunzaji zinapungua sana maana haifi hata kwa Moto!
 
Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na Rais na kusubiria ntantalila za CCM

Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki

Ingieni mtafute maarifa ya huu uwekezaji! Watu wengi wanafanya hiki kilimo wanapata fedha nyingi

Maeneo ya kununua mashamba ni mengi kwa wilaya ya Kilombero na Ulanga...!ardhi kule ipo fertile

Sasa cha kufanya ni wewe kwenda na kutafuta ardhi ununue hapa inategemea na maeneo na approach yako lakini hazidi laki 3@acre mbegu na kupimiwa shamba unapata bure kutoka kwa kampuni ya mitiki..!

Changamoto ni kuisimamia toka unapopanda hadi 3yrs toka uipande ..!kuanzia hapo haina changamoto sana..mie maneno mengi sina..tutafute hela jaman..tuwekeze..
miaka mi8 sio mingi kbs kbs ..!

Shime Watanzania! Tukutane2030[emoji4]

Nb.Kama upo serious pm me nikupe namba ya mhusika wa KILOMBERO TEAK CO.akupe mwelekeo!
Haswaaaa, huo ndio mpango sahizi huku ulanga, kuna maeneo yapo kati ya Lupiro (home) na Mahenge zinauzwa hekari za kumwaga tena bei chee sio za hao KVTC, ila ishu ipo kwenye kuzifanyia ngonga (kusafisha) hizo hekari coz sio mbuga, ni msitu. Ila all in all hii investment inalipa sana nawashauri vijana wafuatilie kiutaalamu jinsi ya kuinvest na unafaikaji then waingie sababu muda ndio huu.
 
Kama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee
Sio kweli, huku Ulanga mitiki kwenye kampuni ya KVTC imeanza kuvunwa around 2013 na mchakato wa kupanda hiyo miti ulianzaga like 1992 so you can get the difference
 
Back
Top Bottom