Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

Vijana kwa Wazee:Tuwekeze kwenye miti ya Mitiki

"SIASA NI KILIMO"
Ulikuwa Darasa la ngapi wakati MWL anatuhamisisha wazalendo ktk Kilimo?

😂😂😂😂usinihusishe tena na siasa mkuu😐...njoo tupande miti tu[/QUOTE]
 

😂😂😂😂usinihusishe tena na siasa mkuu😐...njoo tupande miti tu[/QUOTE]
Hahahaha halafu kweli sijaona comments zako kule jukwaa la Siasa toka Lowassa aludi Ccm
 
😂😂😂😂usinihusishe tena na siasa mkuu😐...njoo tupande miti tu
Hahahaha halafu kweli sijaona comments zako kule jukwaa la Siasa toka Lowassa aludi Ccm[/QUOTE]
😉😉😉😉nimechefukwa tu..ila we r very strong baada ya yy kuondoka huwez amin
 
Hahahaha halafu kweli sijaona comments zako kule jukwaa la Siasa toka Lowassa aludi Ccm
😉😉😉😉nimechefukwa tu..ila we r very strong baada ya yy kuondoka huwez amin[/QUOTE]
Pole best
 
Mkuu miaka 8 uliyo ambiwa ni ulaghai tu wa kibiashara kukushawishi usikate tamaa.

Ukweli ni kuwa mtiki wa kisasa unaovunwa kibiashara unachukua miaka 20 hadi 25 kuvunwa.

Nenda kafanye utafiti huru na mitandaoni au idara ya misitu.

Mtiki unaokuwa vizuri wanasema unaongezeka kwa nchi 8 kwa siku. Labda hiyo 8 waliyo kuambia ndio hii lakini wameigeuza wauze mbegu n.k.
Pia unakuwa unawatunzia ardhi yao wasinyang'anywe na serikali kwa miaka hiyo yote ionekane inaendelezwa huku ardhi yao ikipanda thamani.

Hapo jamaa wanapiga pesa ya mbegu n.k.
 
Atwambie na mda wa kuvuna wenda ikavunwa miaka 30 ijayo.leo tuliambiwa tupande palachch watu wakafyeka miti wakafyeka kahawa wakapanda palachch ndivyo hivyo enzi zile za pareto,kahawa,chai,yaani ushenzi tu hatuna viwanda siriasi kabisa vyenye mahitaji ya vitu hivyo ndio maana tunafeli leo wapi korosho......acheni kuzingua leo unatuletea habari za mtiki....hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo hizo parachichi zikakosa soko?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mknga m1 anaexport parachichi...labda zake hazina ubora

Hata bila exportation
Soko la ndani tu lenyewe halijatosheka
Mwezi wa kwanza mpaka wa pili katikati kulikua hamna parachichi za maana sokoni,

Kuna kipindi parachichi zinatoka mpaka nje ya nchi!!!

Jamani tujiongeze


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimekupenda ghafla..uwii 30acres..safi sana..mie toka 2015 najua hii ishu lakini sikuwa nimetilia maana..sasa nimekutana na wanaoilima...vitoto vidogo kweli na vimeinvest balaa..arghh..njombe kuna shida ya kuchomeana mashamba...
kila mahali mm mwaka jana wamechoma eka 10 mitiki ya miaka 2
 
huo ni uwekezaji...ukifumba macho kwakweli lazima uje ushangilie..!huko bgmy wana hyo mbeg ya muda mfupi?all the best

Mkuu bagamoyo sehemu gani asee, maana nilipandaga mitiki miaka kama mitano iliyopita lakini cha kushangaza inanyauka tuuu. Nina mpango wa kupanda nyingine sasa ambacho sijui na hii mbegu ya muda mfupi nayo itakauka tuu bila sababu ya msingi. Ila ninachohisi ni ukame ndo maana inakauka tuuu
 
Mkuu bagamoyo sehemu gani asee, maana nilipandaga mitiki miaka kama mitano iliyopita lakini cha kushangaza inanyauka tuuu. Nina mpango wa kupanda nyingine sasa ambacho sijui na hii mbegu ya muda mfupi nayo itakauka tuu bila sababu ya msingi. Ila ninachohisi ni ukame ndo maana inakauka tuuu

Nilivyokutan nahawa wataalam walisistza kupima udongo
huenda hukupima udongo..bagamoyo ilkua tunaongelea ishu ya nazi.
 
Jamani njoo pia tulimee mihogo kisarawe ukuu..soko sio baya kivile..kuna seminar nilihuzuriaa wapo kwenye harakati ya kuwa na body maalumu kwa ajili ya masilai ya wakulima wa mihogo..pia tulikutwanishwa na wanunuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom