Msomi wa MNGETA
Member
- Mar 6, 2019
- 59
- 103
Haaaaaaa mngeta sehem gani mkuu?Upo sahihi kabisa, hilo mimi nimelishuhudia mwenyewe bibi yangu alikuwa anamiti mingi sana ya mitiki huko morogoro kijiji cha Mngeta kama ID yako inavyosoma [emoji16] mwisho wa siku ardi yote hakuna kinachomea, hadi majirani wakaanza kulalamika, tuliuza yote, ila bei yake ni nzuri.
Kuhusu lifespan yake sina uhakika kama ni miaka mingi sidhan kama inazidi 20
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau