atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Usipotoshe watu ni miaka 12 tuu unavuna,nakumbuka kipindi nipo Moro nilipewa hilo dili ndio hivyo sikuwa na mshiko,ss hivi ni mwaka wa 7 toka nipewe hilo dili je ningezingatia ingekuwaje,kwa kifupi hio miti ndio inatumika kutengeneza ma boat ya kifahari huko ulaya,mbao yake ina uwezo wa kukaa kwenye maji miaka 99 bila kuharibikaKama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee
Duh..hebu niambie ina athari gan...aisee sikujua kwakweli as nilienda has ofisini kwao pale...!tafadhari elezea bayana mkuu tujiandae kisaikolojia mapema
Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na Rais na kusubiria ntantalila za CCM
Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki
Ingieni mtafute maarifa ya huu uwekezaji! Watu wengi wanafanya hiki kilimo wanapata fedha nyingi
Maeneo ya kununua mashamba ni mengi kwa wilaya ya Kilombero na Ulanga...!ardhi kule ipo fertile
Sasa cha kufanya ni wewe kwenda na kutafuta ardhi ununue hapa inategemea na maeneo na approach yako lakini hazidi laki 3@acre mbegu na kupimiwa shamba unapata bure kutoka kwa kampuni ya mitiki..!
Changamoto ni kuisimamia toka unapopanda hadi 3yrs toka uipande ..!kuanzia hapo haina changamoto sana..mie maneno mengi sina..tutafute hela jaman..tuwekeze..
miaka mi8 sio mingi kbs kbs ..!
Shime Watanzania! Tukutane2030[emoji4]
Nb.Kama upo serious pm me nikupe namba ya mhusika wa KILOMBERO TEAK CO.akupe mwelekeo!
sina hakika sana..labda nikupe mawasiliano na mtaalam wa mitiki zone ya hukuTofaut na mikoa iyo inaeza ikalimika!??
Mm nataka nikaiweke mkoa w lindi vp inaezekana?!??!....
Duh Kuna watu wanamoyo sana.Mkuu miaka 8 uliyo ambiwa ni ulaghai tu wa kibiashara kukushawishi usikate tamaa.
Ukweli ni kuwa mtiki wa kisasa unaovunwa kibiashara unachukua miaka 20 hadi 25 kuvunwa.
Nenda kafanye utafiti huru na mitandaoni au idara ya misitu.
Mtiki unaokuwa vizuri wanasema unaongezeka kwa nchi 8 kwa siku. Labda hiyo 8 waliyo kuambia ndio hii lakini wameigeuza wauze mbegu n.k.
Pia unakuwa unawatunzia ardhi yao wasinyang'anywe na serikali kwa miaka hiyo yote ionekane inaendelezwa huku ardhi yao ikipanda thamani.
Hapo jamaa wanapiga pesa ya mbegu n.k.
Mkuu miaka 8 uliyo ambiwa ni ulaghai tu wa kibiashara kukushawishi usikate tamaa.
Ukweli ni kuwa mtiki wa kisasa unaovunwa kibiashara unachukua miaka 20 hadi 25 kuvunwa.
Nenda kafanye utafiti huru na mitandaoni au idara ya misitu.
Mtiki unaokuwa vizuri wanasema unaongezeka kwa nchi 8 kwa siku. Labda hiyo 8 waliyo kuambia ndio hii lakini wameigeuza wauze mbegu n.k.
Pia unakuwa unawatunzia ardhi yao wasinyang'anywe na serikali kwa miaka hiyo yote ionekane inaendelezwa huku ardhi yao ikipanda thamani.
Hapo jamaa wanapiga pesa ya mbegu n.k.
Vipi kuhusu maji? au mvua mmoja tu kama ya masika inatosha kuotesha, ama kuna ulazima wa kuwa na machine ya maji kwa ajili ya umwagiliaji kipindi cha ukuwaji wa miti?
Duh Kuna watu wanamoyo sana.
Kusubiria mazao kwa muda wa miaka 20 si unavuna na kuuza wakati huo umeshazeeka!
Sasa sijaelewa ktk miaka hyo 20 yote unakuwa unalihudumia shamba au ukishaotesha tu ndio basi inakuwa yenyewe?
Sawa mkuu. Ujinga ni sehemu ya kujifunza.😊😊😊ficha ujinga wako mkuu..mbegu ni bure..jitahidi uwe unatafta maarifa....muone!
Sawa mkuu. Ujinga ni sehemu ya kujifunza.
Basi fuatilia na ukweli kuhusu muda wa kuvuna uje utupe elimu mimi na wote tusio kuwa na taarifa sahihi.
sina hakika sana..labda nikupe mawasiliano na mtaalam wa mitiki zone ya huku
hapanaWw upo kusini?!...
sasa ukiambiwa kukurupuka ndo huk ndugu yangu..ina maana toka pg ya 1 hujaona muda wa kuvunwa mkuu!
alafu mie nilitoa tu ushauri...nikaona nizao ambalo halina stress...na nimelenga zaid kwa watu wa pwani...ni rahis kwao kuliko kulimbilia njombe kununua pines ..!lol
sina hakika sana..labda nikupe mawasiliano na mtaalam wa mitiki zone ya huku
Kama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee
0788419793Nipe kaka
Nahitaji ekari mbili tuu mkuu tuwasilianeNinashamba ekari 50 Turiani Morogoro, ekari moja 200,000 tshs, interested?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaaa, huo ndio mpango sahizi huku ulanga, kuna maeneo yapo kati ya Lupiro (home) na Mahenge zinauzwa hekari za kumwaga tena bei chee sio za hao KVTC, ila ishu ipo kwenye kuzifanyia ngonga (kusafisha) hizo hekari coz sio mbuga, ni msitu. Ila all in all hii investment inalipa sana nawashauri vijana wafuatilie kiutaalamu jinsi ya kuinvest na unafaikaji then waingie sababu muda ndio huu.Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na Rais na kusubiria ntantalila za CCM
Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki
Ingieni mtafute maarifa ya huu uwekezaji! Watu wengi wanafanya hiki kilimo wanapata fedha nyingi
Maeneo ya kununua mashamba ni mengi kwa wilaya ya Kilombero na Ulanga...!ardhi kule ipo fertile
Sasa cha kufanya ni wewe kwenda na kutafuta ardhi ununue hapa inategemea na maeneo na approach yako lakini hazidi laki 3@acre mbegu na kupimiwa shamba unapata bure kutoka kwa kampuni ya mitiki..!
Changamoto ni kuisimamia toka unapopanda hadi 3yrs toka uipande ..!kuanzia hapo haina changamoto sana..mie maneno mengi sina..tutafute hela jaman..tuwekeze..
miaka mi8 sio mingi kbs kbs ..!
Shime Watanzania! Tukutane2030[emoji4]
Nb.Kama upo serious pm me nikupe namba ya mhusika wa KILOMBERO TEAK CO.akupe mwelekeo!
Sio kweli, huku Ulanga mitiki kwenye kampuni ya KVTC imeanza kuvunwa around 2013 na mchakato wa kupanda hiyo miti ulianzaga like 1992 so you can get the differenceKama unataka kufa kwa Stress wekeza kwenye hiyo miti. Inachukua miaka 60 kupata mavuno. Hivyo usiiwekeee maaanani ya miaka 10 au 20 ni UONGO. Soft woods kule Mufindi sawa lkn hizo Hard Woood! Usitafutie watu umaskini na Stroke bureee