Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Inatakiwa mtu akishafikisha miaka 45+ aanze kujipanga kwa uzeeni, kama kuna watoto kila kona, aangalie namna ya kuwapa haki zao za msingiNyie vijana acheni tabia yakuwakana na kutowatunza watoto pale mnapowazaa...tabia hiyo inawafanya mkifikia uzeeni muanze kuwalaumu watoto wenu....andaeni uzee wenu vizuri watoto wawe ndio hazina yenu ya kesho
Kwa nini kuwa na kiasi?Asante mkuu kwa kutukumbusha, ila ni muhimu kuwa na kiasi.
Baba ni baba as long as wewe ni damu yake.Na wale wazee waliotelekeza familia zao, watoto wakapambana kivyao au kwa support ya watu wengine hadi wakatoboa(wakawa na uhakika wa milo 3 kwa siku). Hawa wazee pia tunawazungumziaje?
[emoji38][emoji38][emoji38]Kama huna shida yoyote, kati ya 21 mpaka 24 una mtoto, 27 una mtoto, 33 mwisho wa kuweka mtoto. Ifikapo 60, uliyempata ukiwa na 33 anakuwa na 27, kama hajiwezi pumbavu zake, asikujue, uzee ni wako, pension ni yako!
Kama hakutoa matunzo inakuwaje?Baba ni baba as long as wewe ni damu yake.
Baba ndo anatoa baraka.
Wanawake wamevamia ukweli wanataka wao waonekane ndo wafungua njia
Lakini Biblia inasema baba ndo mwenye ufunguo wa baraka zako
Kiufupi, wazee wanapaswa kuwatengenezea watoto wao mazingira ya wao kuja kulelewa baadae.Siyo hao tuu Mzee yeyote yule .. ajilee yeye mwenyewe .
Wewe na mimi (watoto wetu tulee familia zetu)
Wengine tumekulia mikononi mwa ndugu wengine katika ukoo utadhani ni mayatima kumbe sio hivyo ila sababu mzee ni chenga(tena anajua ila kujifanya nunda na misimamo ya kikoloni).Baba ni baba as long as wewe ni damu yake.
Baba ndo anatoa baraka.
Wanawake wamevamia ukweli wanataka wao waonekane ndo wafungua njia
Lakini Biblia inasema baba ndo mwenye ufunguo wa baraka zako
Matunzo(kulea kwa nyanja zote muhimu) ndio Amali njema ya wazee kukumbukwa.Kama hakutoa matunzo inakuwaje?
Hilo ndilo shamba la mibaraka sasa. Ukimsaidia mzee wa hivi utabarikiwa mpaka ushangae. Hata kama una kinyongo naye bado msaidie ukiwa mbali...fanya hivyo utakuja kuniambia. You raise above the fray labda awe pasua kichwa kama huyu wa Dimples nimemuona anatema nyongo kwenye tivi nikasema huyu mzee ni zero na hajajifunza cho chote...Wengine tumekulia mikononi mwa ndugu wengine katika ukoo utadhani ni mayatima kumbe sio hivyo ila sababu mzee ni chenga(tena anajua ila kujifanya nunda na misimamo ya kikoloni).
Wazee wa hivi wanatia hasira sana
Tatizo linaweza kuanzia kwenye mahusiano yao, labda hayakuwa mazuri,ikafikia kutelekeza mtotoMatunzo(kulea kwa nyanja zote muhimu) ndio Amali njema ya wazee kukumbukwa.