Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #21
Inatakiwa mtu akishafikisha miaka 45+ aanze kujipanga kwa uzeeni, kama kuna watoto kila kona, aangalie namna ya kuwapa haki zao za msingiNyie vijana acheni tabia yakuwakana na kutowatunza watoto pale mnapowazaa...tabia hiyo inawafanya mkifikia uzeeni muanze kuwalaumu watoto wenu....andaeni uzee wenu vizuri watoto wawe ndio hazina yenu ya kesho