Kwa sababu hawakuweza kuvipata vya kwenye ndoa kabla ya ndoa. Unafkiri libido wangepunguzia wapi?Lakini zamani babu zetu waliweza vipi kuoa mapema miaka 18 mtu anaoa
Wakiona hivyo muda wao bado au hawajakutana na ubavu wao SA watalazimisha mambo?kwanza mi nashangaa MTU mwingine anapambana hapa tz kumbe ubavu haupo bongo hapa..[emoji1] [emoji1]Mbona wakina dada wengi wanalalamika tu kuchezewa
lifeJe maisha ni magumu
maisha ya siku hizi zaidi ya isidingo ya ITVJe wanawake wa kuoa hakuna au
Je maisha ni magumu
Au ni uoga wa maisha
Karibu tujadili
Familia haziwezi kufa maana hata nchi ambazo ndoa ni adimu bado kuna familia sema huenda zikakosa maadiliNafasi ya familia iko wapi huoni kuwa tunaua taifa