Vijana kwanini wazito kuoa

Vijana kwanini wazito kuoa

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Je wanawake wa kuoa hakuna au

Je maisha ni magumu

Au ni uoga wa maisha

Karibu tujadili
 
Vijana hawaoi kwa sababu huduma zote zinazopatikana kwenye ndoa wao wanazipata hata kabla ya kuoa. What d'you expect
Lakini zamani babu zetu waliweza vipi kuoa mapema miaka 18 mtu anaoa
 
Ndoa pasua vichwa na huduma inayopatikana kwenye ndoa hata akiwa nje anaipata tena huenda kwa ubora zaidi, dats y!
 
Ndoa pasua vichwa na huduma inayopatikana kwenye ndoa hata akiwa nje anaipata tena huenda kwa ubora zaidi, dats y!
Nafasi ya familia iko wapi huoni kuwa tunaua taifa
 
Familia haziwezi kufa maana hata nchi ambazo ndoa ni adimu bado kuna familia sema huenda zikakosa maadili
Kukosekana kwa maadili kunajenga ama ni mwiba kwa nchi
 
Back
Top Bottom