Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara,

Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna wakati wanaishia tu kuomba ushauri wa mawazo bila mafanikio na kufikia kuwa na msongo wa mawazo baada ya biashara yao kufeli.

Na unaweza kufanya kazi na baadae ukaanzisha biashara na ukaweza kuiendesha hata kupitia mtandao maana siku hizi teknolojia imekuwa kubwa sana kwahiyo hiyo milioni 5 au 10 uliyokuwa nao itunze na kuiongezea na kundelea kujifunza zaidi
 
Kupata kazi nikugumu kuliko kuanzisha biashara kwanza vijana wetu sio competotive katika soko la ajira, labda wajiliwe na serikali ambao inazoa kila takataka.
 
Hiyo kazi kama unatafuta tu na kuipata kesho.kuliko kushauri mtu kutafuta kazi Bora umshauri kupost vituko Instagram, YouTube na TikTok
 
Back
Top Bottom