Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

Muite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
2,971
Reaction score
6,607
Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA.

Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu kujua hayo.

Ndoa zote zenye migogoro ukifuatilia background ya mwanamke utaona alishatumika kabla ya kupata wa kumuoa. Na wengi ibillisi huweka makazi kwao.
 
Ebo Hata watoto wa la saba tu hawana bikira sembuse hayo maguberi kitaani
Mzazi aliyetunza usichana wake hadi kuolewa ATAHAKIKISHA ANAMLEA MWANAE KATIKA MISINGI HIYO, na wale walioikaribisha zinaa kabla ya ndoa wengi hata watoto wao huenenda hivyo. Na ndio maana nikasema kuna baraka na laana zitakazoambatana nao.

Wenye bikira wapo japo wasio nayo ni wengi zaidi HASA WASOMI
 
Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA.

Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu kujua hayo.

Ndoa zote zenye migogoro ukifuatilia background ya mwanamke utaona alishatumika kabla ya kupata wa kumuoa. Na wengi ibillisi huweka makazi kwao.
Mzee unaongelea kuoa bikira wakati huku watu wanaoa single maza wa watoto wawili wa tatu......
 
Jaribu kuelewa kwamba watu wanabadilika sana, hakuna kigezo cha kumjua mtu kikamilifu.

Usikariri kwamba mtu akiwa namna flani atakuwa vizuri/vibaya kwenye kitu fulani. Sihitaji kukupa mifano una miaka 60 lazima utakuwa na uelewa.

Illusion of control ni mbaya sana.
 
Hebu na nyie wazee acheni upumbavu

Hiyo bikra sahizi unaitoa kwa nani?

Masisita wenyewe wa utawani wanaenda utawani wakiwa wameshatumika.

Tuwe serious na maisha mambo mengine hayawezekani kwa mazingira yetu..

Umewazungumzia wadada bikra vipi kuhusu vijana wa kiume ?
 
Hakuna kanuni,nilioa bikra,akaja kutombwa na idd kisa rifti ya gari,tangu hapo ndo nikagundua talent yake kuwa ni malaya haswa,labda ungetushauri tusioe wanawake wenye mashepu kama yale walioahidiwa ndugu zetu katika imani,maana kutombewa mwanamke mwenye shepu ni sawa na mwanamme wa kimasai kutahiliwa.
 
Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA.

Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu kujua hayo.

Ndoa zote zenye migogoro ukifuatilia background ya mwanamke utaona alishatumika kabla ya kupata wa kumuoa. Na wengi ibillisi huweka makazi kwao.
Mke mwema anatoka kwa Bwana (mithali 19:14), swali langu ni je hawa wake wema ambao bwana huwa anawazawadia wampendao watakuwa wote ni mabikra?
 
Back
Top Bottom