Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

Mke mwema anatoka kwa Bwana (mithali 19:14), swali langu ni je hawa wake wema ambao bwana huwa anawazawadia wampendao watakuwa wote ni mabikra?
Wapo wengi tu. Muoaji ukijishughulisha kiroho na kiakili utawaona tu. Lakini ukibebwa na tamaa zako utakutana na kina delila wa kutosha
 
Mimi ni mzee naingia miaka 60 October . Nimeona mengi katika familia na ndoa za watu. Ukioa mwanamke ambaye alishaharibu USICHANA wake ni kama umeoa laana. Lakini ukioa mwanamke aliyejitunza usichana wake tangu kuzaliwa ni kama UMEOA BARAKA.

Nina mengi ya kuwaeleza katika hili lakini itoshe tu kujua hayo.

Ndoa zote zenye migogoro ukifuatilia background ya mwanamke utaona alishatumika kabla ya kupata wa kumuoa. Na wengi ibillisi huweka makazi kwao.
Thamani ya mwanamke sio bikra
Thamani ya mwenamke ni kujiheshimu
kuna wengi waloolewa na bikra lkn ndoa hazikumaliza hata mwaka.
na kuna wengi wameolewa bila bikra lkn kwa sababu ya kujiheshimu ndoa zao zina miaka.
Pia bikra inaweza kutoka bila kukutana kimwili.
Bikra inaweza kutoka ikiwa mschana anafanya kazi ngumu, anafanya mazoezi magumu, anaendesha baiskeli muda mrefu na n.k
 
Babu una hoja wajukuu wakusikilize
 
Uko sawa sana, Spirit zinazo mfata mtu baada ya kulala na watu tofauti ni kubwa sana, kila roho ya mtu ambaye amelala na mwingine humuandama maishani mpaka awe na akili ya kuziondoa hizo roho, nje na hivyo roho hizo humsababishia laana, mikosi na majanga tofauti tofauti mengi tu, lakini mwanamke ambaye hajalala na watu hovyo hovyo,watu tofauti tofauti, maana yake hana hizo roho zinazo mfatilia labda ziwe za kutupiwa na watu wabaya.. lakini pia unaweza kumuoa huyo na baadae akaanza kuchepuka na watu wengine kulingana na maisha yanaendaje, ikiwa hivyo pia bado hayo majanga hayataondoka nyumbani mwa mtu huyo.
 
Thamani ya mwanamke sio bikra
Thamani ya mwenamke ni kujiheshimu
kuna wengi waloolewa na bikra lkn ndoa hazikumaliza hata mwaka.
na kuna wengi wameolewa bila bikra lkn kwa sababu ya kujiheshimu ndoa zao zina miaka.
Pia bikra inaweza kutoka bila kukutana kimwili.
Bikra inaweza kutoka ikiwa mschana anafanya kazi ngumu, anafanya mazoezi magumu, anaendesha baiskeli muda mrefu na n.k
Elewa maana ya BIKIRA kwa mwanamke kuwa ni mwanamke ambaye hakuwahi kuzini/kutmbna kabla hajaolewa. Mwanamke huyo huambatana na Baraka maishani mwake. MSIKAZE SHINGO KWASABABU NYIE YANAWAGUSA. CHA MSINGI WALEENI WATOTO WENU WA KIKE ILI WAWE WAKE WEMA NA WALIOBEBA BARAKA.

Imagine unaoa mwanamke ambaye katembea na wanaume zaidi ya kumi halafu useme una mke hapo
 
wewe unaeongea hivi unaweza kukuta kabla ya ndoa ushatembea na wanawake zaidi ya 10 halafu unamwambia mwenzako aowe bikra wakati wewe ushawaharibu.

Ukimchunguza sana humli
 
Hakuna kanuni,nilioa bikra,akaja kutombwa na idd kisa rifti ya gari,tangu hapo ndo nikagundua talent yake kuwa ni malaya haswa,labda ungetushauri tusioe wanawake wenye mashepu kama yale walioahidiwa ndugu zetu katika imani,maana kutombewa mwanamke mwenye shepu ni sawa na mwanamme wa kimasai kutahiliwa.
Kijana Acha uoga, kutafuniwa ni kawaida sana.
 
Thamani ya mwanamke sio bikra
Thamani ya mwenamke ni kujiheshimu
kuna wengi waloolewa na bikra lkn ndoa hazikumaliza hata mwaka.
na kuna wengi wameolewa bila bikra lkn kwa sababu ya kujiheshimu ndoa zao zina miaka.
Pia bikra inaweza kutoka bila kukutana kimwili.
Bikra inaweza kutoka ikiwa mschana anafanya kazi ngumu, anafanya mazoezi magumu, anaendesha baiskeli muda mrefu na n.k

Hivi hizi maana za kuwa bikira mnazitoa wapi[emoji1787] et bikira inatoka kwa mazoezi

Jamani maana ya bikira ni mtu ambae hajawai kushiriki ngono tangu kuzaliwa kwake uchi wake haujawai kupitishwa ama kupitisha popote

Sasa uendeshe baiskel bikira itokee inahusianajee

Tatizo mmekariri kuwa ili mtu awe bikira basi lazima damu imwagike kwani huwa mnachinja kuku

My dearest hako ni kautando tu ambacho mtu huzaliwa nako na wenginee hawazaliwi nako so kadri muda unavoenda kinapotea kutokana na vitu mbalimbali Kama hivyo ulivosema wewe

Ila ubikira unabaki vilevile kwamba kwake ni kugumu
 
wewe unaeongea hivi unaweza kukuta kabla ya ndoa ushatembea na wanawake zaidi ya 10 halafu unamwambia mwenzako aowe bikra wakati wewe ushawaharibu.

Ukimchunguza sana humli
Nadhani wewe hili linakuumiza sababu ulishindwa kutunza usichana wako. Ulisikia wapi ubikra ukizungumziwa kwa mwanaume, umeshaona jamii ikimshangaa mwanaume anayetembea na wanawake wengi.
 
Umeoa laana ni kauli kali sana! Kwa hiyo wengi tunaishi na laana! Basi Acha tuendelee kunywa soda zetu ambazo zilimeshafunguliwa kiujanja. Ni sawa na mtu anafungua soda anakunywa hapo kidogo na kujazia na maji, kizibo kinaegeshwa kiujanja, wewe unauziwa tu na unafurahi kama zuzu.
 
Back
Top Bottom