Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

Huu uzi mods naomba uwekwe lamination na upelekwe pale makumbusho kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho.
 
Mzee wangu kwanza hongera kwa kufikisha umri huo. Pili acha nikupe kongole kwa busara zako katika mada husika. Tatu umenifanya nianze kukufuatilia humu jf (si kwa ubaya, kwa lengo la kujifunza zaidi kutoka kwako).


Uishi sana Mzee wangu, huu uzi wako nitaufanyia kazi.
 

This is well noted faza.
 
Tabia njema na uaminifu wa mtu hujengeka moyoni mwake, nafsini mwake na maishani mwake kadri anavyolelewa vema. Haiko kwenye uke uliotunzwa.

Hata ambao unaona hawana bikira kumbuka kuwa walikuwa nayo kabla ya kutoka. Pia tukumbuke bikira haitolewi kwa ngono tu. Inatoka kwa kubakwa, kuendesha baiskeli, kutanuka au kupasuka msamba, kuteleza vibaya, nk.
 
Thamani ya mwanamke siyo chenza bali thamani ya mwanamke jinsi mwenyewe alivyo ,wengi wameolewa wakiwa na machenza lakini ndoa zao walishindwa kuzitunza ila wengine wameolewa wakiwa na machungwa na mpaka sasa ndoa zao wamezitunza.
 
Watumishi wa mchogo
 
Utakuwa hujafika mikoa ya pwani, vibinti tele Vimeolewq vikiwa bikra vikazalishwa na vikaachwa.
 
Wewe mwenyewe ulikuwa bikira ulipooa?

Amandla...
 
Bikra sio kigezo aisee wapo watu wameoa bikra na wanalia.

Kiufupi hakuna fomula japo vipo viashiria vya mke mwema ila kwa mazingira ya sasa bikra sio kigezo kikuu maana hata kuipata tu ni mtihani na wapo waliozipoteza ila ni kwa sababu ya ubinafsi wa wanaume.
 
Changamoto ni kumpata mwanamke alie katika umri wa kuolewa na ni bikra
Nimekaa na mabinti wengi hapa kwangu, wengi wameolewa
Uko sahihi hasa hao wenye bikra wakitambua thamani yake. Nimekaa na ma binti wa kazi wengi wao wameolewa, na wasasa nae kapata mchumba ameshanitaarifu niweze mtafuta mwingine. Alifika tu baada ya kumaliza la saba, kapata mchumba anatoa mahari.
My take: vijana wanapata kigugumizi cha kuoa wakishaona binti kapitiwa na watu wasiojulikana ila wakijua ni bikra vijana serious wanatangaza ndoa. Mabinti zangu jitunzeni waoaji wapo!!
 

Ukiangalia chanzo cha ugomvi wao si swala la uaminifu kwa upande wa mke
 
Mkuu Wacha hii pasaka ipite Na Ramadhan yake.

Unarusha stimu
 
Ebo Hata watoto wa la saba tu hawana bikira sembuse hayo maguberi kitaani
Hiyo yote ni kwasababu ya jamii kupuuzia bikra na kutoitilia maanani,mbona zamani ilikuwa ni kawaida kukuta mdada mkubwa tu anayo?
Jamii iishi katika misingi.
 
Umeandika kwa HASIRA SANA

Umemtaja hadi Jina mwana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…