Vijana mkitaka furaha ya maisha oa mke BIKIRA

Napokea ushauri wako mzee lakini kwa sharti hilo la kuoa bikra ni sawa na kusema vijana msioe maana bikra hamna wote wamekua malayer kinoma.
Bikira zipo japo zimekua adimu
 
Word...
 
Unajichanganya sasa unaposema tabia njema hujengeka moyoni na kadiri anavyolelewa na kwamba haihusiani na bikira.

SASA KAMA BINTI KALELEWA VEMA NA KUJENGEKA KIIMANI MOYONI IWEJE TENA AFANYE NGONO KABLA YA NDOA. NADHANI BINTI ALIYELELEWA VEMA ATAJUA UMUHIMU WA KUTUNZA USICHANA WAKE.

NYIE NDIO WALE WAKRISTO MNAOVAA VIMINI KANISANI HALAFU MNADAI KUWA MUNGU HAANGALII MAMBO YA MWILINI BALI HUANGALIA YA ROHONI
 
UBARIKIWE SANA NA MUNGU ATAKUONGOZA KATIKA MEMA
 
Hata vitabu vya dini vimeyaongelea sana haya. Kwenye maandiko kila alipozungumziwa kijana wakati anakwenda kutafuta binti wa kumuoa tunaambiwa ALIMPATA FULANI AMBAYE HAKUWAHI KUMJUA MWANAUME(BIKIRA).

Bahati mbaya sana watumishi wa nyumba za ibada wanaujua ukweli lakini hawayazungumzii haya nadhani HAWATAKI KUWAKWAZA WATU WAO KWASABABU DUNIA YA LEO WENGI WAMESHATUMIKA KABLA NA WENGI WANAOINGIA IBADANI WALIOLEWA TAYARI WALISHANGOKA KABLA, NA HATA WATUMISHI WENGI WAMEOA USED. Ndio maana hushikilia kwamba Mungu haangalii ya rohoni.
 
mimi nafanya booking ya huyo ajae utakaemtafuta huyo mfanyakazi hope atakuwa bikra😂🤣😅
 
Soma vizuri na kwa makini. Niliandika bikira haitolewi kwa ngono tu!
 
Soma vizuri na kwa makini. Niliandika bikira haitolewi kwa ngono tu!
Suala ni mwanamke anayejitunza hadi kuolewa. Hiyo ya kusema bikira imetolewa kwa kuendesha baiskeli ni mambo mengine kwanza binafsi siamini huo utetezi.

Yaani kijana ukutane na binti akuambie baiskeli ilitoa bikira yake, UTATHIBITISHAJE HAPO
 
mzinifu mwanamke ataolewa na mzinifu mwanamme and vice verse
 
Napokea ushauri wako mzee lakini kwa sharti hilo la kuoa bikra ni sawa na kusema vijana msioe maana bikra hamna wote wamekua malayer kinoma.
Ndgu yangu usiseme hamna bikra,bikra zipo na Mungu sio mpumbavu kiasi hicho,kwamba afanye idadi ya wanawake kua kubwa kisha bikra ziishe.....
 
mimi nafanya booking ya huyo ajae utakaemtafuta huyo mfanyakazi hope atakuwa bikra😂🤣😅
Karibu sana ila huwa wanakuja wadogo hukulia hapa, nipo somehow strict ila huwa nawapa ukweli, wa nini kitawatokea endapo watatawanya mapaja yao, nahisi huwa wananisikiliza
 
Subiri chombo cha kugundua mchina atengeneze, maana hata masista hawana
 
This level of cooking>>>>>>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…