Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

Kutafuta kupungua uzito kwa notification hapana kwakweli, huyo mwanaume mbona atateseka na atajuta kuoa..!!
Ndo atafute ambaye watakuwa wanaongea kauli moja na kukubaliana, tusi force badilisha watu
 
Hiyo ni red flag tosha

Red flags ziko nyingi za kawaida na za kila siku ila vijana wengi wanazipuuza

Kwa kuongezea nyingine, mfano unamtoa manzi outing na mpo kwenye committed relationship

Atapost kila kitu mahali mlipoenda, mlichokula n.k lakini wewe mpenzi wake hakupost

Hapo ndugu yangu piga chini malaya huyo
 
Dah! kwa Email Mzee
 
Heheh, watu mnapenda sana kumiliki wenzenu yaani kwa mfano mimi pisi yangu kabisaa mimi niwe wakwake peke yake!!!? Me sitaki awe wangu peke yangu na yeye sitaki niwe wake peke yake.... Let's live tuu mmoja akichoka anaacha.

Mfano juzi tupo out message imeingia kwake akawa anasoma kwa kujificha nikamuuliza "What's wrong" akadai kuna jamaa anamsumbua na ashamkataa ila jamaa king'ang'anizi me nikamuuliza "Huyo jamaa vipi ana hela?" akadai anazo ila kawaida tuu kama mimi, Nikamuambia ampotezee.
 
Na kuzipuuza ndo wanajikuta wanaumia, Vijana wengi wanajiua siku hizi kwa stress na msongo wa mawazo
 
Ndo atafute ambaye watakuwa wanaongea kauli moja na kukubaliana, tusi force badilisha watu
Uko ni kukosa kazi za kufanya mpk uanze kushugulika na notification…… kwa tabia hizo utabadilisha wanaume kila siku.!!
 
Kwa mfano mimi simu yangu notifications ziko turned off, hadi za sms za kawaida.

Nikiingia kwenye mahusiano nitaonrkana muhuni?
 
Kwa mfano mimi simu yangu notifications ziko turned off, hadi za sms za kawaida.

Nikiingia kwenye mahusiano nitaonrkana muhuni?
Hapana, sasa hapo ndipo unapaswam mueleza mtu, kama umemzoesha viabay ataelewa vibaya
 
Uko ni kukosa kazi za kufanya mpk uanze kushugulika na notification…… kwa tabia hizo utabadilisha wanaume kila siku.!!
Nyie ndo mnakuja kugundua mnazama kwenye kina mkidhani mnaogelea
 
Na kuzipuuza ndo wanajikuta wanaumia, Vijana wengi wanajiua siku hizi kwa stress na msongo wa mawazo
Hakika mkuu halafu utakuta manzi kama huyo kijana anajisifu eti anahudumia.

Akija kushtuka alikuwa anatapeliwa stress na msongo wa mawazo zinaanza

Ndio nyuzi zao nyingi humu za kulalamika wanagongewa, sijui kapigwa kibuti kumbe red flags zilikuwa ziko waziwazi tangu mwanzo wakazipuuzia

Vijana wakishalegezewa sauti, wakipewa sex na miguno fake wanakuwa wajinga kabisa
 
Then Tunawashauri wanaona hatuna muda kumbe Tunapenda share na kuziba ufa kabla ya kujenga ukuta upya
 
Kwani bado mnaamini kuna true love? True love ni nyege zako tu zikiisha unasahau hata sura ya mpenz mwenyewe🙄

Nipo hapa Mwenge vinyago tunachonga sanamu lako, tukimaliza sijui tuliweke pale Mafiat au hapo Meta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…