Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

Nyie ndo mnakuja kugundua mnazama kwenye kina mkidhani mnaogelea
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna watu mapenzi mnayachukulia serious sana..!! Mapenzi ni sanaa inayoendeshwa na wasanii wawili, ukilijua hilo wala hutokaa uteseke.
 
Sasa mimi ambaye simu haina sms hata moja kawaida na whatsApp itakuwaje si nitaonekana sifai kwenye hii dunia ya wapendanao.

Nikishasoma tu text hapo hapo huwa nafuta, na wala sina baya na mtu ni vile nimeamua tu.
 
Tabu yanini yote wadogo zangu, kwanini mnataka mpendwe kama pesa? We tafuta msambwnda piga pipe, Jenga familia, usijenge kibanda kwa asilimia 100!, wekeza hisia 10% tu, ukifumania, wala haikupi shida, unapiga chini unavuta mwingine!
Dunia sasa hv inaweka chip kwenye u bongo, nyie mnasumbuliwa na mapenzi!
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… simu yangu ina silent notification za X/Twitter pekee,simu muda wote ipo kwenye silent mode. Nitakua napata kesi za mauaji ya kimbari kila siku .
 
Ni kosa kisheria kukagua simu isiyo yako, zingatieni faragha jaman[emoji28][emoji28], mpenzi wako akikagua simu yako kamshitaki kwa kosa la kuingilia privacy yako na uhuru wako

huyu atatakiwa akulipe fidia kwa kutaka kujisababishia magonjwa ya moyo/mshituko/hofu/presha endapo angeona taarifa zisizompendeza ktk simu yako.

Kataa kushare simu, kataa kutoa password kwa mpenz wako, kataa kuweka On notification unapokua na mpenzi wako, kataa kuchunguzwa, pinga ukatiri wa kijinsi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unahoja yapaswa usikilizwe
Over
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…