Vijana Mlioko kwenye mahusiano chukueni hii mnishukuru baadae

Mie Simu yangu ina makorokoro mengi.. yeye mwenyewe huwa inamshinda.. ila kuwa na tabia ya kuchunguza mambo sio nzuri. Acha effects zitokee zenyewe kama anafanya kwa kuficha basi anakuheshimu.
Na ktk mahusiano heshima ndio kitu cha msingi.
 
Taraj πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nakuona unavyojilizaga na mapenzi km sio mjanja bana..!!! Ukitaka kuenjoy mapenzi yafanye km sanaa wala hutoumia
Taraj henson?

Mimi huyo nalia na mapenzi?
🀣

Kwanini hunisaidiii ndugu yako hadi unaona nafika hiyo stage?kama kijana ya 20's?
 
Taraj henson?

Mimi huyo nalia na mapenzi?
🀣

Kwanini hunisaidiii ndugu yako hadi unaona nafika hiyo stage?kama kijana ya 20's?
Naandaa dawa ya kukusaidia kaka mdogo wifi asikutese, tulia nazama chimbo sawa..?? 😜
 
Nionyeshe hao aunt zangu 😍😍😍
Ninavyopenda watoto sasa..!! Hapa ushanivuruga
Lini nikuletee ushinde nao kabisa?
Ila hadi nitakapojithibitishia kuwa unafahamu kulea.🀣
 
Lini nikuletee ushinde nao kabisa?
Ila hadi nitakapojithibitishia kuwa unafahamu kulea.🀣
Mi kulea najua ww walete kina aunt uone km hawajakatalia kurudi kwako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walete jpili ndio napatikana home
 
Mi kulea najua ww walete kina aunt uone km hawajakatalia kurudi kwako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walete jpili ndio napatikana home
Hahaha!

Nitashukuru wakipata mtu wa karibu mcheshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…