Vijana mliopo A-level: Technique rahisi nilizotumia kupiga Division One ya 3 form six bila kukesha darasani

Jamaa itabidi afundishwe TORATI YA MTAA ama somo KITAALOJIA
 
Last edited:
Ni sawa..si yuko kwenye formal system ambayo hio salary scale ndio inaendana na qualification yake...au ilitakiwa alipweje? Its fine kwa ufaulu wake na ndio maisha aliyochagua.
 
Samahani Mkuu wewe uliingia top 3 au top 10....
 
Mie hkl
Nilitoka na 1ya3 yaani A zoote
Mbinu kuu ni hii hapa
Kumaliza mada zote kabla ya mwalimu darasani mapema sana
Kufanya past pepa haraka sana sana
Kwa mie h_kelele spidi ndo kila kitu

Hata wale wa PCB, PGM, PCM ni vyema mkafanya ivi kwani wapo niliowaona wakifanya hivyo na walitoka na Division 1 kibaooo.
Asante.
 
Acha kupotosha watu, kwa hyo wasisome kwa bidii au, mp...........vu. Nn
 

Kwa hyo tunachat na TO si ndio, hongera man achana na wapuuzi wanao sema umeishia kuajiriwa
 
Reactions: Pep
wewe kumbe mtoto wa juzi, ndio maana unaangaika mpka leo kutafuta 5M..

wewe ukiwa unaona U-TO Nikitu cha ajbu mwenzako ndio tuna mwaka 1 mtaani

kamaliza chuo udsm 2008, kwa coz ya miaka 4..

alafu nitakuwa na mashaka na U-TO wako maana unasoma na kuelewa taratibu sana..

nimeandika jamaa aliingia top 10, na sio TO wala top 3.

na wewe utakuwa umesoma shule za private, huko ndio shule zinazotoa Ma TO Mazezeta kwa kuwaibia mitihani

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Jamani namtafuta mwenye huu Uzi maana amekimbia Pambano huku hivyo ananitia hasara mm kama Promota wa Pambano
 

Mkuu mwaka 2005 niliandika historia kama yako na madogo wa sasa hawawezi kabisa
 
Ah ah ah ah ah ah! Promota unanchekesha saana asee. Umekuja kumsakua hadi huku? We ni mbaya saana.
Hata akienda Kenya Talk tutaenda kumchukua tu aje amalizie pambano lake hawezi kunitia hasara kiasi hiki aisee.
 
mkuu CCNP Engineer nakushauri uongezee huu ujuzi wa CPA utakufungua namna ya kumake million dolar dills,kwa kuwa una kichwa kikali unaweza unganisha ujuzi wako wa Engineering and business na kufanya wonders hapa duniani, ila yote kwa yote we ni mkali
 
Hahahaha kwaiyo mchizi tumejua ulipiga one ya 3.

Hongera!

Haya tuambie ulichovumbua mpaka sasa hivi

Au na wewe umeishia kuajiriwa? Eeh... Na wani yako ya tatu[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…