Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri watu wote magenius au waliofaulu zaidi kuliko wengine kote duniani ndo matajiri wakubwa???Aisee maisha ya bongo bana, unapiga 1 unakuja kusukuma spacio, watu wa 3 na wasio soma wana range na discovery 7[emoji2]
Hapana kabisa mkuuUnafikiri watu wote magenius au waliofaulu zaidi kuliko wengine kote duniani ndo matajiri wakubwa???
Ni the same sasa hata kwenye sehemu nyingine..kwamba hata kibarua wa ulaya kwa masaa sita anaweza pata $45,ila huku bongo masaa kumi akapata $4Hapana kabisa mkuu
Ila angalau kwa wenzetu huko unakuta wana gari nzuri na angalau makazi mazuri
Hapa kwetu wengi mshahara ni less than 1m
Na daladala daily inawahusu yani in short hapa bongo na africa,hali yao sio nzuri
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Eng anakunja si chini ya 4M huyo.Hapana kabisa mkuu
Ila angalau kwa wenzetu huko unakuta wana gari nzuri na angalau makazi mazuri
Hapa kwetu wengi mshahara ni less than 1m
Na daladala daily inawahusu yani in short hapa bongo na africa,hali yao sio nzuri
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Aliwaza akope mil 5 half aache kaziEng anakunja si chini ya 4M huyo.
Jumlisha na Forex.
kwenye miti hakuna wajenzi.. yaani na ma AAA yako yote umeishia kuajiriwa serikalini kwa mshahara wa hazina... ma scholarship yote yaliyojaa duniani umeyaacha unahangaika na forex na mwisho wa siku unatapeliwa na wadogo zako kina ontario...
wahuni wana div 3 za mwisho tena za HKL ila ajira za maana kwenye mabalozi.. au wanajiajiri wenyewe wanagombania tenda na kupiga hela..
nashangaaga sana best students kuwaona udsm... ukikomaa kweli kweli na ukawa na washauri sahihi unatembea mapema sana.. bongo nyoso
Ahahaha!! Yaani nimecheka kwa nguvu sana usiku huu mnene...[emoji23] [emoji23] [emoji23] thanks dude you made my midnight.Endeleeni kubishana na mtu km huyuView attachment 819468
Duui anakuona ujue...mleta uzi utakuwa umesoma Tabora Boys...
ahha ahhaa , nakutania tu..
kuna jamaa yangu nimesoma nae Advance aliingia top ten PCM kwa div 1 ya 3..
kaenda mlimani kafanya Comp Eng & IT..
sa iv ni Afisa Tehama Halmashaur ya Tandahimba, anakula TGS E...
Mungu huyu jaman
Hakuna anayemuonea wivu huyu jamaa but ni kwa kuwa ni mwingi wa habari ndo maana anapigwa mawe maana ushauri wake upo bias na umejaa aina flani ya kujivuna.Mbaya zaidi unaposhindwa kutumia elimu yako katika mazingira halisi ya kimaisha basi unakuwa umepoteza lengo zima la kusema na huko kufaulu yaani bora ungebaki kwa bibi unachunga MBUZI tu.Sasa ww graduate wa First class leo hii Mara sijui KUBET,Mara Kuchukua MKOPO wa 5M kisha aache kazi na matakataka mengine mbona haviendani kabisa na hadhi ya graduate wa level hiyo?!!!!Watu wana wivu khaaa hahaa yani watu mapovu yamewatokaaa.. Hii inasaidia wanaosoma na siyo waliofanikiwa mtaani.