Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.
Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha.
Kumbukeni bado kuna viongozi wa wananchi wapo kazini, na muda wa uchaguzi bado kikatiba.
Si vizuri mkakwama na kupoteza uelekeo katika hatua za mwanzo kabisa mwa ndoto zenu za kua viongozi wa wananchi maeneo yenu, kwasabb ya kukiuka miiko, kanuni, katiba, mila, desturi na utamaduni wa vyama vyenu.
Uchaguzi ni mchakato, msigombane. Haina haja ya kuchokozana, kusimangana na wala kusemana vibaya. Jenga wasifu wako unaoishi kwa ubunifu wa sera, mipango na mikakati iliyo katika maelezo nyoofu, na ndio utambulisho muhimu sana wa kukubalika kwa wananchi.
Huu ni ushauri wangu kwenu katika kuwaimarisha.
Remember Elections is very Expensive. Mbona mtafurahi.