Pre GE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

Pre GE2025 Vijana mnaokusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao, punguzeni mchecheto, papara na pupa majimboni kwa wenyewe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao.

Njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana. Vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha.

Kumbukeni bado kuna viongozi wa wananchi wapo kazini, na muda wa uchaguzi bado kikatiba.

Si vizuri mkakwama na kupoteza uelekeo katika hatua za mwanzo kabisa mwa ndoto zenu za kua viongozi wa wananchi maeneo yenu, kwasabb ya kukiuka miiko, kanuni, katiba, mila, desturi na utamaduni wa vyama vyenu.

Uchaguzi ni mchakato, msigombane. Haina haja ya kuchokozana, kusimangana na wala kusemana vibaya. Jenga wasifu wako unaoishi kwa ubunifu wa sera, mipango na mikakati iliyo katika maelezo nyoofu, na ndio utambulisho muhimu sana wa kukubalika kwa wananchi.

Huu ni ushauri wangu kwenu katika kuwaimarisha.

Remember Elections is very Expensive. Mbona mtafurahi.
 
friends ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao..

njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana..
vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha...

kumbukeni bado kuna viongozi wa wananchi wapo kazini, na muda wa uchaguzi bado kikatiba..

si vizuri mkakwama na kupoteza uelekeo katika hatua za mwanzo kabisa mwa ndoto zenu za kua viongozi wa wananchi maeneo yenu, kwasabb ya kukiuka miiko, kanuni, katiba, mila, desturi na utamaduni wa vyama vyenu..

uchaguzi ni mchakato,
msigombane. haina haja ya kuchokozana, kusimangana na wala kusemana vibaya. jenga wasifu wako unaoishi kwa ubunifu wa sera, mipango na mikakati iliyo katika maelezo nyoofu, na ndio utambulisho muhimu sana wa kukubalika kwa wananchi...

Remember Elections is very Expensive. Mbona mtafurahi 🐒
Ila kwa kuwa wapo chawa kila kitu kinawezejana🤗
 
Ila kwa kuwa wapo chawa kila kitu kinawezejana🤗
ushauri wangu ni kwa vijana wote nchini, bila kujali vyama vyao vya kisiasa, mirengo, wala sijui nyumbu au chawa, mihemko au ghadhabu 🐒

atakae ona unafaa ni sawa atakaeona si muhimu asonge mbele tu kadiri anavyoona inafaa 🐒
 
friends, ladies and gentlemen, ndugu zangu wakusudia kutangaza nia uchaguzi mkuu ujao..

njooni taratibu, njoni pole pole. Pupa si kitu kizuri sana..
vyama vyenu vinawatazama, viongozi wenu na wanachama wenu wanawapima kwa nidhamu, heshma na uadilifu mnao uonyesha...

kumbukeni bado kuna viongozi wa wananchi wapo kazini, na muda wa uchaguzi bado kikatiba..

si vizuri mkakwama na kupoteza uelekeo katika hatua za mwanzo kabisa mwa ndoto zenu za kua viongozi wa wananchi maeneo yenu, kwasabb ya kukiuka miiko, kanuni, katiba, mila, desturi na utamaduni wa vyama vyenu..

uchaguzi ni mchakato,
msigombane. haina haja ya kuchokozana, kusimangana na wala kusemana vibaya. jenga wasifu wako unaoishi kwa ubunifu wa sera, mipango na mikakati iliyo katika maelezo nyoofu, na ndio utambulisho muhimu sana wa kukubalika kwa wananchi...

huu ni ushauri wangu kwenu katika kuwaimarisha...

Remember Elections is very Expensive. Mbona mtafurahi 🐒
Ulipaswa uwataje na majina yao na majimbo ya uchaguzi ili waanikwe hadharani.
 
Ulipaswa uwataje na majina yao na majimbo ya uchaguzi ili waanikwe hadharani.
hapana,
huu ni ushauri wangu wa jumla kwa vijana wote nchini, bila kujali vyama au mirengo yao ya kisiasa kujizuia kukiuka mila, desturi, utamaduni wa vyama husika na matokeo yake kuharibu ndoto na matarajio yao ya kua viongozi wa wananchi 🐒
 
ok ni sawa lakini wasiwe wanatumia pesa kwa ajili ya kuwashawishi wapiga kura.
 
Back
Top Bottom