Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

Mkuu Hakuna mlokole anayeoa au kuolewa na mtu ambaye siyo mlokole kama yeye!
Kama aliokoka baada ya kuolewa wakati mme hajaokoka bado hapo ndipo penye shughuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…