Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

Kuna hiyo moja umetoka kazini umejichokea unasema ngoja niende nyumbani unakuta wamejazana sebuleni ni mwendo w mapambio na sala mpaka usiku wa manane.... Nani kila siku kutoa jumapili
 
Kuna WALOKOLE na Kuna WALOKOLE MAMBOLEO (NEO_WALOKOLE)

Nikipata wasaa ntashusua x_ctcs zao 😊
 
Hii ni kweli kabisa.........maana unakuta lile ng'ombe umelilipia mahari harafu linakwambia baba mchungaji ana akili kuliko wewe.........hapo ndio pakuwapa mimba wabaki wakiuza unga wa uji wa ulezi kanisani bila kuolewa .......(single maza)
 
Back
Top Bottom