Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

😂😂😂😂
Walokole Bwana wao ni Yes na hawajawahi hata kuonana na huyo Bwana.
 
Ahaaa atakuwa alkupa ile kali imekatika mbege ya wazee wenyewe.. ..Kwa hiyo ulivofika nyumbani ukalala migombani😂😂😂
Apana kumbe kuna ya mahindi tena ? Hiyo nilipewa na mzee mmoja wa kale ukoo wa mangi tulipo enda home kwake kupata historia ,maeneo ya makiidi karibu na mkuu .
 
Back
Top Bottom