Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

Walokole wanadai mme wao ni yesu , wewe chapa nyoosha goti .
 
Ilikuwa chachu ? Au ulichanganya na ile ya mahindi?
Apana kumbe kuna ya mahindi tena ? Hiyo nilipewa na mzee mmoja wa kale ukoo wa mangi tulipo enda home kwake kupata historia ,maeneo ya makiidi karibu na mkuu .
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Walokole Bwana wao ni Yes na hawajawahi hata kuonana na huyo Bwana.
 
Ahaaa atakuwa alkupa ile kali imekatika mbege ya wazee wenyewe.. ..Kwa hiyo ulivofika nyumbani ukalala migombani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Apana kumbe kuna ya mahindi tena ? Hiyo nilipewa na mzee mmoja wa kale ukoo wa mangi tulipo enda home kwake kupata historia ,maeneo ya makiidi karibu na mkuu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ