Vijana mnaotaka kuoa " Kamwe usioe mwanamke Mlokole"

😁😁Nimetania tu , ila pombe ilikua kali mno .
Sawasawa hio mbege ikikaa mda inakuwa kali na ndio watu wanaitaka
Ila kuna ile kukamua na kunywa siku ya kwanza ya pili inakuwa kama togwa tamu sukari
 
Sawasawa hio mbege ikikaa mda inakuwa kali na ndio watu wanaitaka
Ila kuna ile kukamua na kunywa siku ya kwanza ya pili inakuwa kama togwa tamu sukari
Mhn tukirudi kwenye mada ila kwa rombo walokole hawazidi kumi labda marangu kidogo🤔
 
Jumuisha na wanawake wa kisabatho,hivyo hao.wanawasikiliza wasabatho wenzao tu na wazee wa kanisa.
 
Jamaa yangu Mke wake alikuwa dizaini hiyo kila siku jioni anaenda maombi na kwaya,badaye akaja kagundua kuna mzee moja wa kanisa anakula mzigo.
Sa hivi wameachana wakiwa na watoto 3.
 
Sawa kaoe Bar Maid na Malaya wa Kimboka mi naelekea kwa Nkone VCC Jumapili ijayo nikavute jiko.
 
Mimi nipo poa mno , nisipoona mchango wako humu huwa nakosa amani rafiki yangu😊
Sema kweli? Leo nilibanwa ndio naingia ila sikai sana natoka. Nashukuru km huwa mnanimiss 🫶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…