Mhm kwa wapambanaji kama wewe ,unanichora๐๐Majobless tumeamka muda huu, nitafutie kibarua basi uzunguni huko hata cha h/girl ๐
Acha uongo basiOa tu ila ujue umeolea walokole wenzake. Kazi yako ni kuosha vyombo tu baada ya waheshimiwa kushiba.
Bila shaka walishakuja lo