Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

Vijana mnaotaka kuoa single Mother hebu pitieni hapa

Kama wewe ni kijana upo ktk mahusiano na single Mother kabla hujamuoa jiulize maswali haya........ .
1.unafahamu chanzo cha yeye kutengana na mzazi mwenzake

2.ushawahi kupata nafasi ya kuzungumza na mzazi mwenzie akupe story zake kiundani mpka walifikia hatua ya kutengana

3.jina la mtoto wake anatumia ubini Gani wa baba yake mzazi Au baba wa mwanamke

4.umeshawahi kujiuliza ni kwanini jamaa hamudumiii mwanamke aliyezaa nae

5.ni kwanini baba wa moto hajihusishi na chuchote kuhusu mtoto wala huyo mwanamke

6.kama jamaa ndio alimuacha mwanamke ndio alimuacha mwanamke unajua ni kwanini alimuacha alafu wewe ndo umchukue

7.jamaa aliyemzalisha bado wanawasiliana na kama hawasiliani ikitokea siku jamaa anataka kumuona mtoto wake utamzuia

Haya endeleeni kuongezea
Tunajitosa tuuu tukipigwa basi
 
Unaoa mtu ajazaa Ila katoa Mimba za watu karibu saba si bora ambaye alithamini kiumbe yule akamleta duniani.....watoto Siku izi wanapata Mimba form one tu ashatoa adi anafika chuo je?
Kweli!!
 
Unaoa mtu ajazaa Ila katoa Mimba za watu karibu saba si bora ambaye alithamini kiumbe yule akamleta duniani.....watoto Siku izi wanapata Mimba form one tu ashatoa adi anafika chuo je?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Oeni bikra ili msisalitiwe. Mnawaonea tu single mother wa watu kila siku kuwaanzishia mada.
Oeni wenye hofu ya Mungu.

Kuna mwalimu nilikutana naye 2012 alikua bikra nando alikua anaanza kazi.

Bahati mbaya alioangiwa kazi mikoaya mbali namm nko Dar.

Akatolewa bikra na jamaa, akazaa naye, wakaoana.

Lkn nmekuja kumla 2018 ,kipindi iko choteee tulikua tunawasiliana na kupeana picha tu

Siku hiz nikitaka namwambia Anakuja .
 
Wamekariri hawawezi elewa
 
Mungu wangu!! Kumbe na wee unafanya haya? Unavokemea usaliti wa wanawake ktk ndoa zao. Kumbe na wee n m1 wapo ktk kuchangia hilo. Mweeeeeh
 
Hizi mada za kuwajadili Dada zetu waliozaa, tena kuwajadili kwa kejeli na dharau hazifai kabisa!! Sisi ndio tunaowazalisha na kuwaacha, na bado tunawadhalilisha!! Sio uungwana kabisa, tuwaeshimu, ni bora na baraka kwa single mama anetunza watoto wake mwenyewe, kuliko mwanaume mtu mzima, aliekimbia majukumu hajui chochote kuhusu familia!! Tuwaeshimu Dada zetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kakoma huyu uliyemjibu, harudii tena lol
Wenyewe wanadhani kila anayesimama upande wa single maza basi ni single maza, nimeolewa, dada zangu wako kwa ndoa zao, na mama kazeeka na baba adi saivi, Ila kuwa single maza sio kosa wala si ulemavu kama marios wengi wanavodhani watu wanaoa masingle maza na wanaishi vizuri kuliko ata waliooana bila watoto
 
Wiki kadhaa zimepita bila ya kuwananga hawa watu, mmeanza tena. Kila mtu ana maamuzi yake wandugu

Ila kwa Singo Mazaz, kama Maelekezo yalivyotoka katika Kikao kilichopita na Yakaazimiwa na Mwenyekiti pamoja na Wajumbe
 
Ukipenda ua penda na boga lake...

Mengine yasikuumize kichwa...
 
Oeni wenye hofu ya Mungu.

Kuna mwalimu nilikutana naye 2012 alikua bikra nando alikua anaanza kazi.

Bahati mbaya alioangiwa kazi mikoaya mbali namm nko Dar.

Akatolewa bikra na jamaa, akazaa naye, wakaoana.

Lkn nmekuja kumla 2018 ,kipindi iko choteee tulikua tunawasiliana na kupeana picha tu

Siku hiz nikitaka namwambia Anakuja .
Nikwel Kuna dem wangu mmoja akiniacha kwasabab nilikuwa Sina mpango wa kumuoa yeye akaenda kuolewa na mwanaume mwingine baada ya Mwaka kupita mwenyewe akaanza kunitafuta na kutaka kunipa penzi na Wala sijawai kuzaaa nae, sema Mimi sikupenda kutembea na mke wa mtu,, kwa kifupi unaweza kuoa mwanamke ambaye hajazaa na akawa ana chepuka kwa mpenz wake wa dhamani
 
Back
Top Bottom