Cruel conman
Member
- Jan 29, 2024
- 34
- 118
Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika
Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya mil. 3.5 au kuwakuwa una duka lililokamilika basi wewe ni tajiri unafungua muda unaotaka unafunga muda unaotaka, basi ndo muda wa kuflex na wanawake na uko serious kabisa
Matarajio yangu ratiba zako zitakuwa zinaeleweka asubuhi unaamka mapema unaenda dukani ukiingia dukani hamna kufunga mpaka sa nne chakula unaweka order unaletewa siku imeisha siku ya pili hivo hivo lini mtajifunzaa kusacrifice baadhi ya vitu kwaajili ya malengo ya baadaye
Kinachoniacha hoi inakuaje kijana msomi hujui kutofautisha mtaji na faida, kwakuwa hela ipo dukani wewe ni kufakamia tu