Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenikumbusha zamani nyumba zetu zilikuwa na vile vibango ukutani "Kupenda sio kazi kazi ni kumpata akupendae" "🤣Biashara si ya kila mtu.....kutafuta pesa si kazi....kazi ni pale kuifanya pesa izae pesaa.
Utafanya vip biashara bila elimu , sijaelewa nifafanulie elimu na biashara inakua vip tofauti?Elimu na Biashara ni vitu viwili tofauti.
Alipewa Elimu kwanza, kabla ya kumlaumu.
Mpe Elimu kisha muangalir tena
Tafta hela usisahau kuishi, au una BIMA ya ,maisha? Ni lini utafanya starehe na utajuaje maisha ya kesho ndo yamefika nile starehe? Life ni kupanga tu nahsi.Tunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika
Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya mil. 3.5 au kuwakuwa una duka lililokamilika basi wewe ni tajiri unafungua muda unaotaka unafunga muda unaotaka, basi ndo muda wa kuflex na wanawake na uko serious kabisa
Matarajio yangu ratiba zako zitakuwa zinaeleweka asubuhi unaamka mapema unaenda dukani ukiingia dukani hamna kufunga mpaka sa nne chakula unaweka order unaletewa siku imeisha siku ya pili hivo hivo lini mtajifunzaa kusacrifice baadhi ya vitu kwaajili ya malengo ya baadaye
Kinachoniacha hoi inakuaje kijana msomi hujui kutofautisha mtaji na faida, kwakuwa hela ipo dukani wewe ni kufakamia tu
Kwanza kabisa pole, silipi laki 7 ni one million point 7 for month kwa duka moja na nna maduka 2 na store 1 nimechukua floor nzima….!!Lamomy kafungua duka kariakoo analipa kodi laki 7 lakini anauza kijora kimoja kwa siku na kila siku yupo unajua faida anapataje?
Shem humu ndani waungwana wakorofi sana 😹😹
Hiiii... lamomy nipe michongo basKwanza kabisa pole, silipi laki 7 ni one million point 7 for month kwa duka moja na nna maduka 2 na store 1 nimechukua floor nzima….!!
Tuje kwenye kuuza kijora kimoja sasa 😹😹😹
Hapo kwanza ncheke 🤣
Nipe glass moja ya margarita shots maelezo ni marefu 😹😹
Kabisa......Ili kijana yeyote aweze kusimamia bishara ni lazima ale kwanza hasara,abaki na kidogo kabisa ndio atazinduka na kuanza kupangilia kila mia moja anayoipata,vinginevyo atapewa mtaji mara nyingi na matokeo yatakuwa yaleyale.
Upo wapiKabisa......
Correct.....wanaopewa mitaji ukicachana na bishara za kurithi hawajawahi kutoboa.Ili kijana yeyote aweze kusimamia bishara ni lazima ale kwanza hasara,abaki na kidogo kabisa ndio atazinduka na kuanza kupangilia kila mia moja anayoipata,vinginevyo atapewa mtaji mara nyingi na matokeo yatakuwa yaleyale.
Ntakupigiaaaaa subiri kidogoUpo wapi
Hii imeniingia sanaTunajua kwa exposure uliyopata kwa kusoma una expect vitu vikubwa huku ukisahau kwamba nidhamu ya fedha ndo kila kitu kwenye maisha ya biashara na ndo maana biashara nyingi zinafilisika
Mimi hainiingii akilini kabisa inawezekana vipi kijana msomi una degree yako safi unaua biashara ya duka ya mil. 3.5 au kuwakuwa una duka lililokamilika basi wewe ni tajiri unafungua muda unaotaka unafunga muda unaotaka, basi ndo muda wa kuflex na wanawake na uko serious kabisa
Matarajio yangu ratiba zako zitakuwa zinaeleweka asubuhi unaamka mapema unaenda dukani ukiingia dukani hamna kufunga mpaka sa nne chakula unaweka order unaletewa siku imeisha siku ya pili hivo hivo lini mtajifunzaa kusacrifice baadhi ya vitu kwaajili ya malengo ya baadaye
Kinachoniacha hoi inakuaje kijana msomi hujui kutofautisha mtaji na faida, kwakuwa hela ipo dukani wewe ni kufakamia tu
Sikupendi tena🥲🥲🥲Ntakupigiaaaaa subiri kidogo
Mlete mdhunguuu...Wana thiiimbaa😊😊😊