Vijana msidanganyike, kuoa si guarantee ya kupata tendo. Nina mwezi nanyimwa sasa


Ni mjinga tu anayeweza kuwaza kwamba kuoa ni guarantee ya kupata tendo, na mwanamke anayekubali kuolewa ajue ndoa inatunzwa na tendo....

Baada ya ndoa, kazi inayofuata ni kujenga mahusiano kwa gharama yatakayosababisha mwanamke kufurahia tendo, na mwanaume kupata tendo.
 
Sahihi pia
 
Yes
 
Kijana amani na maelewano yakiwepo ndani unapiga Kila siku bila shida usidanganye watu,Mimi mwenyewe siletagi fujo amani tele napiga navyotaka Mimi.
 
Huu ni ukweli mchungu sana
 
Mwanaume umeoa af unanyima kumer huwa ni ushamba grade A, fukuza hio taahira chukua mwingine
 
Hahaha mliopo kwenye ndoa mnatuvuruga sana kwakweli!
Hatujui tuelekee wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…