Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.
Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.
Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.
Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.
Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.
Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.
Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.
Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa