Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Sio mashoga tu hata wadada shupishasti wanatishia watu kwa kujipost mitandaoni na status hakuna kitu
 
Kuna nguvu kubwa sana inatumika ku promote hayo mambo, ingetumika nusu ya hiyo nguvu kumulika real crisis kama njaa, ndoa za utotoni, kukeketwa, vita, umaskini uliokithiri, racism, drought... among others hakika dunia ingekua tofauti!

Activists wa humu ni wanafki wakubwa! Wa kwanza ku point kwamba kila mtu ana uhuru wake, kwann msiheshimu uhuru wa asietaka kujihusisha pia? Inanikumbusha kisa cha Nabii Lut walimfata nje ya nyumba yake wana demand atoe wageni wake ili wawageuze! Shida ni hamtosheki kufanya mambo yenu behind closed doors mnataman kila mtu ajiunge.

End of times.

Nb ukijifanya kukandia wanaogeuza wanaume alaf unatumia tigo wanawake, una mtindio wa ubongo!
 

kwaiyo hao ambao wamezaa watoto mashoga ndugu zao walifanyaga hyo dhambi??

ukoo mkuu n mkubwa ebu fikiri upande wa baba, mama, wajomba, walikoolea kaka zako…
Kwa mlolongo huo we unaponea wap?

maana unaweza kua na ndugu wengine huwajui
 

Kwa haraka haraka mkuu inaonekana ushaingia kwene huu mtego unajuta[emoji3][emoji3]Pole lakin ili mradi umetambua kosa lako . Hongera kwa kupata escape hole
 
Hapo kuna usiri
 
Mmmhh hao watu serikali inatakiwa iwachukue wakapime afya ya akili aisee yaani mwanaume kbs aiseee apn[emoji174]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…