Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Mtu yeyote anayemuingilia shoga kinyume na maumbile Hana tofauti na huyo mwanaume anayeingiliwa , mwanaume yeyote anayemuingilia mke wake kinyume na maumbile Hana tofauti na homosexual , kuna lundo la wanawake wanasagana hao wote hamuwaoni mmejazana Tu na male homosexuals , acheni unafiki na ignorance , moral degradation ina mnyororo mrefu na haitatuliwi kipumbav namna hiyo
Wanaosagana hawashambuliwi sana sababu wale hawaharibu sana mfumo wa mwili, labda waanze kutanuana hiyo njia ya haja kubwa na vifaa vya ngono. Msagaji na msagwaji wakati wowote anaweza fanya ngono na kushika mimba. Madhara yake yapo kiimani na kisaikolojia zaidi na kibiolojia kidogo sana. Ila anayetumia njia ya haja kubwa ni tatizo kubwa kibiolojia na kisaikolojia.

Haja kubwa ni kwa ajili ya kutoa kinyesi baasi. Dunia yote ikibadili matumizi ya viungo vya uzazi ikaamia kwenye haja kubwa hakuna kuzaliana tena, ndo mwisho wa binadamu. Haijalishi ni mwanamke na mwanaume au mwanaume kwa mwanaume, ile njia ni exit ya mabaki baada ya mwili kufyonza nutrients.
 
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.

Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.

Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.

Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.

Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.

Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.

Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.

Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa
Shukrani kwa hili andiko lako, mwenye masikio na asikie.
 
Usituletee unafiki wa Mwajuma tako laini wa Magomeni mapipa hapa.....!!!!

Kutwa kuzunguka na hijabu lakini ndani havai chupi...usiku wanainua tu hijab

Au za Juma nchokonoe aendae Masjid ijumaa bila boxer kisha usiku wamgeuza

Suala la ushoga hailjalishi dini.....uanapaswa uelewe hilo kwanza...sawasawa????

So usitaje Sunday school hapa wakati huko madrassa Watoto wanalawitiwa na waalimu wao

Sawa sawa???
Naona kina Juma Lokole mmevamia uzi!
 
Siku zote mada zinazoonekana kuupinga USHOGA zinapata upinzani mkali kutoka kwa mashoga na wasagaji wa hapa jukwaani........

Mimi binafsi nikigundua kijana wangu wa kiume anajihusisha na vitendo vya kishoga namuua kwa mkono wangu mwenyewe......ni kheri kuishi jela kuliko kuishi mtaani na aibu hiii........

Huo ndio msimamo wangu.....

Hawa watu hawapaswi kuishi kwenye jamii yoyote kwani ni laana iliyokuu....... kuendelea kuishi na kuachwa wakijitanua ni kutuma ujumbe kwa vijana wadogo kuwa ni jambo la kawaida na hakuna shida kwa mwanaume kuingiliwa na mwanaume mwenzake........itafikia kipindi wazazi watakuwa wanapokea posa za watoto wao wa kiume.........
Unaongea huku umejificha mtandaoni...

Hebu kamuue tuone kama utabaki salama [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe mwenyewe bila Shaka unamuingilia mkeo kinyume na maumbile na ndio mnaongoza kuanzisha nyuzi zenu za kishenzi za Kula waanawake Tigo ,mnafiki Tu , hao mashoga unafikiri wapo Tu na Hakuna wateja ? ,Umeshawahi Fanya utafiti ni akina Nani ni wateja WA hao mashoga ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Majitu manafiki haya
 
Pambana na hali yako acha kutishia watu, wewe kama ni shoga utakuwa shoga tuu na kama sio shoga hautakuwa shoga , mafanikio hayana uhusiano wowote wa kuwa shoga au laa, good chance hiyo computer unayotumia ni apple na CEO wa apple ni shoga ambaye ni one of the best in business na ni millionaire (successful), mabilioneo wengi wa Hollywood ni mashoga ,wall street & Washington ambako ndio mnaomba ruzuku kulipa mishahara yenu ni mashoga watupu,halafu watu wa dini ndio mmejaza mashoga huko makanisani na mna kesi kila kona ya ulawiti, huko misikitini nasikia waarabu wote wana boyfriends, wanaume na wanawake wengi bila kuingiliana huko nyuma ni kama hawajafanya tendo la ndoa, acheni unafiki nyie, mimi sio shoga lakini nitawatetea mashoga kutokana na wanafiki kama nyie mnaojiona watu safi kumbe dhambi tupu
Natamani Kama jf ingekuwa Ni kitufe Cha kuchukia, kuignore. Nk


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Eminem ameoa na kuacha mara mbili achilia mbali mamia ya bitches wa pembeni na alipiga kwa rihanna vilevile. Ukilinganisha jamaa anawatukana sana hayo mafaggot kwenye ngoma zake.
Mtoe mwamba kwenye hiyo list ya mafala unawavunjia heshima fans wa hip-hop ngumu na king of hip-hop mwenyewe.
Kuna mwamba kasema ile clip aliyokiri kuwa naye ni muumini ilikuwa ni prank, hivyo pengine ni sahihi kuwa sio muumini pia.

Kuoa, kuacha, kupiga kina Rihanna n.k inawezaje kuwa ni sababu ya kupinga? Nimesikia kuna msanii maarufu huko Nigeria akisemwa kuwa amepatwa na shida, aliyemsema ni mwandani wake, ni kwa muda gani, sijui!
 
Kwa maana hiyo wewe utakubali kuona mtoto wako wa kiume anafanyiwa huo ufirauni?
Yaani utatetea mtoto wako wa kiume awe anafanyiwa upumbavu na mwanaume mwenzake?

Utamtetea kabisa?
Akiwa gay or no gay atakuwa mwanangu tuu hata kama sikubaliani naye, wewe vipi utamuua?
 
Back
Top Bottom