Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Martin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k

Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Una ushahidi na hawa wote? Au vile umesikia watu wakiwaita mashoga
 
huyo Matawi ya juu Ni shoga pia, halafu anatolea mfano misikitini,wakati mapadri ndio Wana kashfa ya ufirraji kila uchao mbwaa huyu
Suala sio mapandri kunguni wewe

Maimamu wakubwa wa USA kina Daaiye Abdullah na Nur Warsame wa CANADA ni MASHOGA waliojitangaza rasmi na bado wanasimamia Misikiti mikubwa yenye waumini wengi mno.

So kuna Masheikh na Maimamu wakubwa ni Mashoga.
 
Ushoga si hitilafu, ni mazoezi ya ubongo kuamini kuwa mahitaji ya kingono yanaridhisha yakihusisha njia ya haja kubwa na uume wa mwanaume mwingine.

Hakuna itilafu hapo, ni sawa tu na fantancy nyingine kama kunyonyana ndimi, viungo vya uzazi n.k ni mtu anatrain ubongo kuamini hivyo au anasaidiwa kuutrain tangu akiwa kijana mdogo. Na hii inatokana na udadisi usio na mipaka.

Sadly umekaa chini na kutunga theories. I'm sure hujawahi kuketi chini na gay akakuelezea tatizo ni nini and good enough these things wengi mnazielewa zikiingia kwenye familia zenu while it's already too late. Jifunze ili uweze kujua practically hata ukiziona dalili utajua Ila ukijibebesha ujuaji na hujui kitu. Muombe Mungu isiingie kwenye familia au ukoo wako na ukajua sababu kuna gays wengi wana ndoa zao nzuri tu na hata kama yupo kwenye familia yako hutokuja kumjua sababu hivi vitu vinafanyika kwa siri sana ili kulinda heshima zao
 
Ona hili shoga linatetea uchafu, usikute liliharibiwa kwenye Sunday school
Usituletee unafiki wa Mwajuma tako laini wa Magomeni mapipa hapa.....!!!!

Kutwa kuzunguka na hijabu lakini ndani havai chupi...usiku wanainua tu hijab

Au za Juma nchokonoe aendae Masjid ijumaa bila boxer kisha usiku wamgeuza

Suala la ushoga hailjalishi dini.....uanapaswa uelewe hilo kwanza...sawasawa????

So usitaje Sunday school hapa wakati huko madrassa Watoto wanalawitiwa na waalimu wao

Sawa sawa???
 
exactly, kwenye dini ya hao wenzetu huo uchafu kwao Ni ruksa,siunaona hata yule padri Chuo alikuwa anajipigia watoto wa waumini,na wenyewe walivyo matahila ya akili yakawa yanamtetea eti kulinda hadhi ya imani yao
We paka wa mayai ninakueleza tena...Waalimu wa madrassa wangapi wameshitakiwa kwa kulawiti Watoto huko madrassat?

Juzi mmoja alilawiti Watoto 12...hao Watoto si wameshakuwa mashoga?

Kwa ngazi ya kidunia wapo Maimamu 8 waliojitangaza rasmi ni Mashoga, achilia mbali wale wasiojitangaza

Screenshot_20221003-061931~2.jpg
 
Martin, Paul, Ommy, Mtimkavu, Noel n.k
Elton John, Sisqo, Yule mshikaji wa prison break, Eminem n.k

Dudu alisema wabongo fleva wengi ni jinsia ya 3, kuna ukweli?
Eminem?
 
Wameanza kutumia nebo ya [emoji304] kama kueneza ushoga bidhaa nyingi iyo nebo imepachikwa mtahadhalishe vijana wasio kua na kazi na elimu wa epuke hiyo mitego

Mashoga wanapanda magari pia nayo utaacha kutumia?

Sio lazima tafsiri ya mwingine iwe tafsiri yako. Ishi maisha yako. Mimi natumia anything chenye rangi/alama za rainbow, tafsiri yako sio tafsiri yangu.
 
Suala sio mapandri kunguni wewe

Maimamu wakubwa wa USA kina Daaiye Abdullah na Nur Warsame wa CANADA ni MASHOGA waliojitangaza rasmi na bado wanasimamia Misikiti mikubwa yenye waumini wengi mno.

So kuna Masheikh na Maimamu wakubwa ni Mashoga.
Kuna mwanamke amepigwa nyundo 30 kwa kubaka mvulana

Alafu pombe inasababisha magonjwa 200

Wataalamu wa Afya

Cc: Confession Mariposa & cold water
 
Siku zote mada zinazoonekana kuupinga USHOGA zinapata upinzani mkali kutoka kwa mashoga na wasagaji wa hapa jukwaani........

Mimi binafsi nikigundua kijana wangu wa kiume anajihusisha na vitendo vya kishoga namuua kwa mkono wangu mwenyewe......ni kheri kuishi jela kuliko kuishi mtaani na aibu hiii........

Huo ndio msimamo wangu.....

Hawa watu hawapaswi kuishi kwenye jamii yoyote kwani ni laana iliyokuu....... kuendelea kuishi na kuachwa wakijitanua ni kutuma ujumbe kwa vijana wadogo kuwa ni jambo la kawaida na hakuna shida kwa mwanaume kuingiliwa na mwanaume mwenzake........itafikia kipindi wazazi watakuwa wanapokea posa za watoto wao wa kiume.........
 
Wewe mwenyewe bila Shaka unamuingilia mkeo kinyume na maumbile na ndio mnaongoza kuanzisha nyuzi zenu za kishenzi za Kula waanawake Tigo ,mnafiki Tu , hao mashoga unafikiri wapo Tu na Hakuna wateja ? ,Umeshawahi Fanya utafiti ni akina Nani ni wateja WA hao mashoga ?
 
Mtu yeyote anayemuingilia shoga kinyume na maumbile Hana tofauti na huyo mwanaume anayeingiliwa , mwanaume yeyote anayemuingilia mke wake kinyume na maumbile Hana tofauti na homosexual , kuna lundo la wanawake wanasagana hao wote hamuwaoni mmejazana Tu na male homosexuals , acheni unafiki na ignorance , moral degradation ina mnyororo mrefu na haitatuliwi kipumbav namna hiyo
 
Siku zote mada zinazoonekana kuupinga USHOGA zinapata upinzani mkali kutoka kwa mashoga na wasagaji wa hapa jukwaani........

Mimi binafsi nikigundua kijana wangu wa kiume anajihusisha na vitendo vya kishoga namuua kwa mkono wangu mwenyewe......ni kheri kuishi jela kuliko kuishi mtaani na aibu hiii........

Huo ndio msimamo wangu.....

Hawa watu hawapaswi kuishi kwenye jamii yoyote kwani ni laana iliyokuu....... kuendelea kuishi na kuachwa wakijitanua ni kutuma ujumbe kwa vijana wadogo kuwa ni jambo la kawaida na hakuna shida kwa mwanaume kuingiliwa na mwanaume mwenzake........itafikia kipindi wazazi watakuwa wanapokea posa za watoto wao wa kiume.........
Hata usipokuwa na mtoto shoga WA kiume utaishia kuwa na msagaji naye sijui utamuua Kwa mikono yako ?
 
Sadly umekaa chini na kutunga theories. I'm sure hujawahi kuketi chini na gay akakuelezea tatizo ni nini and good enough these things wengi mnazielewa zikiingia kwenye familia zenu while it's already too late. Jifunze ili uweze kujua practically hata ukiziona dalili utajua Ila ukijibebesha ujuaji na hujui kitu. Muombe Mungu isiingie kwenye familia au ukoo wako na ukajua sababu kuna gays wengi wana ndoa zao nzuri tu na hata kama yupo kwenye familia yako hutokuja kumjua sababu hivi vitu vinafanyika kwa siri sana ili kulinda heshima zao
Ikiingia kwenye familia yangu haifuti kuwa sio jambo la asili kutumia njia ya haja kubwa katika kufanya ngono, Ikitokea nitaumia kwa maamuzi ya kijinga aliyofanya mwanafamilia na nitapambana abadilike ikishindikana basi nitamuacha na MUNGU wake watajuana.

MATUMIZI YA NJIA YA HAJA KUBWA KATIKA NGONO NI MAAMUZI YA BINADAMU HAKUNA KIUMBE MWINGINE ANAYEFANYA HIVYO NA NI KINYUME CHA UTARATIBU WA ASILI UNAOTUFANYA TUWEPO. BABU ZAKO WANGEAMUA KUTUMIA HIYO NJIA TU MIMBA YAKO ISINGEKAA IKATUNGWA. KAMA KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE ULIJIKUTA UKIFANYA HAYO MAAMUZI PAMBANA UACHE, HAYAKUWA MAAMUZI SAHIHI.
 
Back
Top Bottom