Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Vijana msidanganywe na maisha ya mtandaoni ya mashoga, hawana utajiri wanaouonyesha

Huna ufahamu wa haya mambo kwa hiyo bora ukae kimya. Kuna watu wanazaliwa na hormones za jinsia tofauti na miili yao. Unakuta mtu ni mwanamke kimwili lakini ni kihisia ni mwanaume. Hili lipo kitaalama na siyo jambo la kubishana.
Speaking of hormones, hebu nitajie hormone moja (na mechanism yake) inayochochea anus ya shoga kutamani kubanguliwa.
 
Dunia iko kwenye kipindi cha ajabu sana kuwahi kutokea, kuna campaign kubwa sana ya kuhamasisha ushoga na kuwashawishi vijana waingie kwenye mapenzi ya jinsia moja wakidanganywa kwamba maisha yao yata rahisishwa na yatakuwa ya kifahari yaliyogubikwa na utajiri uliopitiliza.

Kuna mashoga kadhaa wamekuwa wakitumika kama kioo cha kuwahadaa vijana wengi, muongoni mwa mashoga hao ni kijana mmoja ambaye anainekana akiivinjari dunia akila raha za kila aina.

Vijana nawaonya, ushoga una majuto makubwa, matarajio makubwa mapato kidogo, stress, kujidhalilisha na kudhalilishwa.

Ushoga unafungua mlango wa laana na mauti, mshahara wa dhambi no mauti.

Pia ukifanya dhambi ya ushoga nakuhakikishia utakuwa umeukaribisha ushoga kwenye uzao wako.

Utazaa watoto mashoga na utapata wajukuu mashoga. Dhambi ina utamaduni wa kurithi vizazi na vizazi.

Pia dhambi ya ushoga hufunga milango yako ya baraka. Biashara zako hazitakuwa na mafanikio, hazitaweza kujiendesha zenyewe. Hela ya biashara utaitafuta huko kwingine na usoni utazuga una furaha lakini moyo wako unayiririka damu.

Nakusihi sana kijana, maisha magumu na ugumu wa maisha hauishi kwa kufanya ushoga. Fanya kazi halali, dunduliza, jibane nawe utafanikiwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
20220825_063331.jpg
 
Sijui, alikuwa anakaa Upanga, alianza na.punga kabla hajawa boflo. Punga ilipigwa life ban.

Vijana wa leo kwa ile mikwara ya Boflo wangemkanyaga sana. Akiomba namba ya simu ukimpa tu, anakurushia laki, akiomba mkutane anakurushie laki nyingine ya taxi
[emoji23][emoji23] dahh iyo siyo poa mkuu kwa hali ilivyo watu wanavyopenda mtelezo angewapata wengi sana
 
Kipind fulani nikiwa hapa dar mtaa fulani wa uswazi ,palikufa jamaa akasemekana ni punga alikuwa nakaa karibu na ninapokaa aisee walichelewa kuzima ile maiti ilipokuja kutolewa ilikuwa inanuka kinoma wamepulizia madaw mpaka basi
Kuna maiti isiyonuka?

Sijaelewa hapa? Kwamba ushoga umesababisha maiti kunuka?
 
Back
Top Bottom