situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 41
- 49
Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya situgawe tubakie kuwa wamoja na tunaotanguliza utanzania kwanza.Tanzania ni mama Yetu na hatuna pakukimbilia Tanzania ikiharibika