Vijana msije tumiwa vibaya kwenye mikutano ya Siasa

situjadiriane

Member
Joined
Jan 5, 2023
Posts
41
Reaction score
49
Nimesukumwa na dhamila yangu njema kuwaonya vijana wetu wasijiingize kwenye vurugu zinazo sukumwa na watu Wa gonvi wanao jivika vazi la siasa huku wakitaka kuondoa Amani Yetu. Niombi langu kuwa muwapuuze Wanasiasa wanao taka kuleta taharuki na kuivuruga Amani Yetu. Siasa au matabaka ya vyama ya situgawe tubakie kuwa wamoja na tunaotanguliza utanzania kwanza.Tanzania ni mama Yetu na hatuna pakukimbilia Tanzania ikiharibika
 
kumbuka kwamba vijana wanasoma na hawana ajira.
umeme ukikatika hata vijana wana athirika
barabara mbovu wanapita humo pia
huduma mbovu za afya nao wana athirika nazo
Vijana ni sehemu ya wananchi.... mikutano ya siasa siyo vurugu acha wehu na wasiwasi
 
Hayajitambui acha yatumike kama makondom maana hata Ruto aliyatumia ila hakuna kilichobadilika Hadi sasa
 
Masisiemu yamevugwa sana hapa nilipo leo yalikua na kikao yanamlaumu mama kwanini karuhusu mikutano

Nadhani yalizoea kubebwa sasa ghafla yamatakiwa kwenda site kupiga kazi
 
Hasa CCM waache kutumia vijana vibaya, yaani unawaita watu CHAWA, Na Hawa chawa lengo lao Ni kufanya vurugu tu hawana uwezo wa hoja kwa chadema

Kingine ccm imkamate yule polisi dada, anayetishia usalama wa lissu

Kingine ccm ivunje jeshi lake la green guard
 
Hivi bado unaweza kushauri vijana mambo haya ?
 

Ila mkipora uchaguzi hamtaki kuharibu amani yetu.
 
Kupora uchaguzi ni kudumisha Amani sio! Chawa mnachekesha sana
 
Masalia ya marehemu mbona mnaogopa sana mikutano?
 
Halafu wengine walishasema kubwa watoto wao wote wana uraia wa ughaibuni.
 
Vurugu gan? Acha ujinga! Hakuna wapinzani waletao vurugu bali ni chokochoko za walinda usalama wa raia na wanaowapa maagizo
 
CDM songa mbele, Peopleeeeeees!
onga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…