Tena mfanyakazi anaweza akachukua mkopo 100m akajenga nyumba hela yote, mjasiriamali akiwa na 100m atajenga nyuma ya 35-50m the rest ana invest.Kwa hio wafanyakazi wote hawajajenga?.
Tuheshimu shughuli za watu jmn
Wote wako sawaTena mfanyakazi anaweza akachukua mkopo 100m akajenga nyumba hela yote, mjasiriamali akiwa na 100m atajenga nyuma ya 35-50m the rest ana invest.
Mentality ya mfanyakazi ni tofauti na ya mfanyabiashara. Hawako sawa hata chembe. Na wengi wanaotoka kwenye ajira huwa wanafeli kwenye biashara kwa kushindwa kuachana na mentality za kuajiriwa.Wote wako sawa
Mana maisha sio ushindani ni kila mtu na anayoyapanga
Huwezi jua mwenye mkopo wa 100M anakuwa na chenji/akiba ya Sh ngapi!hadi akaamua kujenga huo mjumba
unamatatzo mkuu sio bure mimi ni dactari bingwa wa magonjwa ya akili.Rais mzalendo Magufuli anatosha
Acha kukariri maisha weweHao labda waliiba. Ila kiukweli khali zao ni mbaya.
Ajira kama ipi bongo unaweza kutoboa mkuu.Muwe mnasema 'baadhi' ya ajira
kwa hiyo dada mtu akiwa anamiliki nyumba na kagali ka usafiri hapo katoboa.... ???? maisha ni ZAIDI ya hivyo dada huwa nkitazama watu wenye malengo hayo huwa nawaona wadogo sana kwangu mimi maisha ni kuwa na vitu vingi vya kukupa pesa hata kama umelala kitandani na si eti utegemee mshahara wa lak 8 mtaa mzma kelelee tu na gali yakokutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,
Mambo hayapo black and white kama manvyotaka kuifanya kama ligi ya Simba na Yanga
Kuajiriwa inategemea umeajiriwa wapi na huko kujiajiri inategemea umejiajiri kwenye nini na mtaji wako ni kiasi gani
inategemeana na ambition za mtu ndio maana nilimuuliza kutoboa anamaanisha nini? ila kwa Tz watu kumiliki hivyo vitu ndio watu wanaokuwa considered wana maisha borakwa hiyo dada mtu akiwa anamiliki nyumba na kagali ka usafiri hapo katoboa.... ???? maisha ni ZAIDI ya hivyo dada huwa nkitazama watu wenye malengo hayo huwa nawaona wadogo sana kwangu mimi maisha ni kuwa na vitu vingi vya kukupa pesa hata kama umelala kitandani na si eti utegemee mshahara wa lak 8 mtaa mzma kelelee tu na gali yako
inategemeana na ambition za mtu ndio maana mwanzo mwenyewe nilimuuliza kutoboa ana maana gani? Nimemtolea hiyo mifano sababu kwa Tz watu wenye hivyo vitu ndio wanaokuwa considered na wengi kuwa wana maisha bora, au labda ni kumiliki private jet na yatch?Hivi kipimo cha kutoboa ni kipi?
Ndio mkuu. Rafiki yangu ameajiriwa analipwa 100,000/= kwa sikuKwamba unahitaji research kujua kuwa Bongo mishahara ni midogo?!
Nchi ambayo kima cha chini ni 150,000/- yaani $60 kwa mwezi unataka research kujua ina mishahara midogo?Ndio mkuu. Rafiki yangu ameajiriwa analipwa 100,000/= kwa siku
Rafiki yangu ameajiriwa analipwa 100,000/= kwa siku. Hii mada inahusu nidhamu katika kujiajiri siku za mwanzoni na sio debate kati ya kuajiriwa Vs kujiajiri.Ajira kama ipi bongo unaweza kutoboa mkuu.
Kwahio rafiki yako katoboa kwasababu anapata 100,000/- kwa siku?Rafiki yangu ameajiriwa analipwa 100,000/= kwa siku. Hii mada inahusu nidhamu katika kujiajiri siku za mwanzoni na sio debate kati ya kuajiriwa Vs kujiajiri.
Mkuu, hii mada inahusu nidhamu katika kujiajiri siku za mwanzoni na sio debate kati ya kuajiriwa Vs kujiajiri.Kwahio rafiki yako katoboa kwasababu anapata 100,000/- kwa siku?
Usiwe dikteta, hatuwezi kuwa rigid kushikilia kitu kimoja. Nimekuuliza kwasababu wewe ndio umeleta habari za rafiki yako au hio ndio kuajiriwa vs kujiajiri? Jibu swali napenda kujua kipimo cha kutoboa, ndio kulipwa 100,000 kwa siku?Mkuu, hii mada inahusu nidhamu katika kujiajiri siku za mwanzoni na sio debate kati ya kuajiriwa Vs kujiajiri.
NINARUDIA TENA KWA MARA NYINGINE, hii mada inahusu nidhamu katika kujiajiri siku za mwanzoni na sio debate kati ya kuajiriwa Vs kujiajiri. Full stop.Usiwe dikteta, hatuwezi kuwa rigid kushikilia kitu kimoja. Nimekuuliza kwasababu wewe ndio umeleta habari za rafiki yako au hio ndio kuajiriwa vs kujiajiri? Jibu swali napenda kujua kipimo cha kutoboa, ndio kulipwa 100,000 kwa siku?
Basi tufanye hamna wenye ajira na maisha mazuri mkuu.,Ajira kama ipi bongo unaweza kutoboa mkuu.
Ni kweli hawako sawa and its okay.,Mentality ya mfanyakazi ni tofauti na ya mfanyabiashara. Hawako sawa hata chembe. Na wengi wanaotoka kwenye ajira huwa wanafeli kwenye biashara kwa kushindwa kuachana na mentality za kuajiriwa.
Hujui raha ya kuwa boss hata kama unakua na nidhamu ya kutoshaShikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu vijana msijidanganye;
Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa.
Nimeamua kutoa ushauri huu kwa maana kwamba, juzi nilikuwa nimepanda daladala ya kutoka Mnazi Mmoja huku Dar nikawa ninaelekea Kigogo kwenda kumsalimia rafiki yangu mmoja hivi, classmate wa Secondary School, aliyefiwa na baba yake weeks chache zilizopita.
Sasa mimi nilikuwa nimekaa siti ile ya nyuma kabisa maeneo ya dirishani kwa maana ndio pande zangu hizo ninazopendaga mimi, then kiti kinachofuata mbele yangu walikuwa wamekaa wasichana/wadada wawili ambao wanaonekana ni University graduates wa miaka ya hivi karibuni (mimi ni University Graduate wa miaka 11 iliyopita) alafu walikuwa wametoka kazini ila kuna changamoto moja ilikuwa imewakera wakawa wanapiga story kwa sauti kidogo bila kujua kama mimi ninawasikia.
Wale akina dada wakawa wanaambizana kuwa ni bora wajiajiri tu kwa maana kuajiriwa ni utumwa. Ukijiajiri unakuwa na nafasi kubwa sana ya kujitawala na unakuwa free sana kujipangia mambo yako uingie kazini saa ngapi na utoke muda gani tofauti na kuajiriwa katika ofisi za watu wengine ambao wanakupangia kila kitu cha kufanya.
Mimi ninaomba kuchukua wasaa huu kutuma salamu zangu za pole sana kwa vijana wenye akili kama za hawa akina dada wanaofikiri kwamba kujiajiri sio utumwa.
Ndugu zangu kujiajiri ni utumwa na kama unataka kuacha kazi ya kuajiriwa na kutaka kujiajiri kwa kudhani kwamba ukifungua biashara yako hautakiwi kuwa na nidhamu ya kazi, basi ni bora hiyo pesa uende uka-bet kwa mhindi labda zali linaweza kuwa lako ukafanikiwa lakini usifungue biashara yako.
Nidhamu ya kazi kwa aliyeajiriwa ni ile ile kwa hata wewe unayetaka kujiajiri. Usifikiri eti kwa kuwa wewe ndio boss basi ukitaka kuingia kazini hata saa 5 asubuhi basi sawa tu kwa kuwa biashara yako. Hapana ndugu yangu. Unapojiajiri wewe ndiye unayepaswa kuonesha nidhamu ya hali ya juu sana kazini ili uwe mfano wa kuigwa kwa wafanya kazi wako.
Wewe kama top boss ndiye unayepaswa kuwa panctual, yaaani kama reporting time ni saa 2 asubuhi, basi wewe ikifika tu saa 1:30, upo kazini. Kama hairuhusiwi kutupa takataka hata karatasi sakafuni boss ndiye anayepaswa kuwa wa kwanza kuonesha hilo na sio vinginevyo
Kijana kama unataka kuacha kuajiriwa na kuanza biashara yako kwa kufikiri eti ukiwa na chako ndio unapaswa kukosa nidhamu ya kazi, you are wrong na tafuta mambo mengine ya kufanya. Nakushauri nenda hata uka-bet. Yangu mimi ni hayo tu.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.