Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

kuna kipindi ,mwaka jana nilipata hasara kubwa sana ilibaki kidogo nishikwe na depression, nikaanza hata kuwaza wenzangu walioajiriwa pengine wana amani kuliko mimi, japo sasa hivi nimerudi vizuri
Wewe ndio mimi,
 
Mkuu, kutosha kwa mshahara inazingatia na kiwango cha mshahara wenyewe na matumizi ya mtu. Kamwe usiisemee nafsi ya mtu mwingine.
Asilimia kubwa ya waajiriwa wengi wa kibongo mishahara yao ni midogo unakuta mtu anafanya kazi analipwa laki nne ana familia, kapanga, bado wazazi wanamtegemea huo mshahara utatosha vipi? Ndo mwisho unaishia kulipa madeni tu.

Ukweli ni Kwamba watu wanaenda kazini lakini siyo Kwamba wanapenda kwenda ..wengi ukiwauliza wanasema kweli kabisa, ajira ni utumwa. Ni heri upate stress za biashara ukiwa positive mind unatoboa kuliko stress za ajira. Muda wote unawaza kutimuliwa...
 
Hii nakazia kabisa!

Kuajiriwa ni unajitakia umasikini wa kutupwa!

Tena huo umasikini unauona ule paleee[emoji117]
 
Kabisa madam, kutoboa hasa hapa bongo kupitia ajira ni uwongo..
kutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,
Mambo hayapo black and white kama manvyotaka kuifanya kama ligi ya Simba na Yanga
Kuajiriwa inategemea umeajiriwa wapi na unalipwa kias gani huko kujiajiri inategemea umejiajiri kwenye nini na mtaji wako ni kiasi gani na unaingiza faida gani
 
Hakika upo sahihi dada. Mutual respect ni jambo muhimi sana.
Na kweli kila mtu wa upande wowote anaweza akafanikiwa
Kujiajiri ni kuzuri ila sio kila kitu na sio fani ya kila mtu.,

Wapo watu kwenye ajira wanatengeneza hela zaidi ya watu wengi tu waliojiajiri maisha yao yote
 
kutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,
Mambo hayapo black and white kama manvyotaka kuifanya kama ligi ya Simba na Yanga
Kuajiriwa inategemea umeajiriwa wapi na huko kujiajiri inategemea umejiajiri kwenye nini na mtaji wako ni kiasi gani
Thank you

Yani kila kitu ni 'inategemea'
Uko wapi na unafanya nini
Iwe ajira ama kujiajiri.,
 
kutoboa unamaanisha nini? Maana nawajua watu wengi tu, wameajiriwa hawana miaka hata 10 kazini, wamejenga na wana usafiri, hii haimaanishi kuwa hakuna ambao wanasota, Lakini pia nawajua wengine waliaojiajiri ambao wanasota zaidi pia,
Mambo hayapo black and white kama manvyotaka kuifanya kama ligi ya Simba na Yanga
Kuajiriwa inategemea umeajiriwa wapi na huko kujiajiri inategemea umejiajiri kwenye nini na mtaji wako ni kiasi gani
Hivi kipimo cha kutoboa ni kipi?
 
Back
Top Bottom