Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Good for u.Sijui na wala sihitaji kujua.
Option iliyobaki ni kujiajiri kwa nidhamu.
Vp kama ajira hakuna na ukijiajiri biashara inakufa?
Kwani wamelazimishwa mkuu? Kama wanaona haiwafai si wanaachana nazo tu mzee baba?!!!Good for u.
Kuna so many bachelor holders are paid 5000/= per day yan approximately 150,000/=. Kwenye kazi za taaluma zao kabisa na mtingo wa kazi kama kawa.
Na wanaishi hapo hapo dar na sio dumila wala sengerema.
Ni kukomaa pamoja na kuwa na moyo wa imani na uvumilivu kwa maana Mungu anaweza yote. Wapo baadhi wanaodiriki mpaka kujitoa uhai wao.Nikukomaa tu.
Sijawahi kuajiriwa lakini discipline ya kujiajiri katika harakat zangu mimi kama mimi nilivyoexperience nimejionea inahitajika nguvu kubwa sana kuwa na uwezo wa kuweka malengo na kuhakikisha yanatimia bila kusukumwa na mtu bali kwa msukumo wa kutoka ndani ya mtu unaoletwa na Kiu ya mafanikio Sio ya kiuchumi tu bali hata nyanja zingine za kimaisha.Huu ndio ukweli mchungu kaka mkubwa.
Thanks friend.Umeandika ukweli mtupu.
Duuuuuh!Mleta mada kujiajiri hakuhitaji Self discipline kunahitaji Job displine au business displine hizo self displine zako nenda nazo kwenu kawaonyeshe wazazi wako
Mkuu, naona umeshangaa kwa kusema Duuuuuh.Duuuuuh!
Ukifika stage ya kuajiri watu unaweza relax kwanini mkuu? Huu ndio mwanzo wa kupigwa changa la macho alafu baadaye mtu anaanza kulalamika humu JF.Kuajiriwa>kujiajiri>kuajiri... Ukifika hapo stage ya mwisho unaweza relax