Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Vijana Msijidanganye: Ukiamua kujiajiri ni lazima uwe na nidhamu ya kazi (Self-Discipline) mara kumi (10) zaidi ya ulivyoajiriwa ndio utafanikiwa

Good for u.

Kuna so many bachelor holders are paid 5000/= per day yan approximately 150,000/=. Kwenye kazi za taaluma zao kabisa na mtingo wa kazi kama kawa.

Na wanaishi hapo hapo dar na sio dumila wala sengerema.
Kwani wamelazimishwa mkuu? Kama wanaona haiwafai si wanaachana nazo tu mzee baba?!!!
 
Huu ndio ukweli mchungu kaka mkubwa.
Sijawahi kuajiriwa lakini discipline ya kujiajiri katika harakat zangu mimi kama mimi nilivyoexperience nimejionea inahitajika nguvu kubwa sana kuwa na uwezo wa kuweka malengo na kuhakikisha yanatimia bila kusukumwa na mtu bali kwa msukumo wa kutoka ndani ya mtu unaoletwa na Kiu ya mafanikio Sio ya kiuchumi tu bali hata nyanja zingine za kimaisha.
 
Kujiajiri kunahitaji kujitoa kuliko tukuka ndo mana mi nikiwasikiliza watu waliofanikiwa duniani maisha waliyoishi ktk harakati zao za kujiajiri aisee unabaki unashangaa tu.

MTU ni tajiri lakin yy ndo wa kwanza kufika kazin na anafika kumi na mbili asubuhi kabisa ,kweli kujiajiri ni kuzuri lakin inahitaji weledi mkubwa mnoooo.
 
Usiweke Matarajio Makubwa kuliko uhalisia hasa ukiwa hujui Unakokwenda. Shuruba ya Kujiajiri mpaka uje usimame mwenyewe isikie tu, ila ukishaweza kujisimamia ipasavyo ni kama kuendesha Baiskeli tu.
 
Magufuli aliposema yeye ni kiongozi anayewajali sana wanyonge na watu wa chini ulidhani anatania?
 
Kujiajiri ukiwa na roho nyepesi hutoboi..ila mambo yakikaa sawa watakutamani. All in all ukijiajiri inabidi uwe fast sana kwenye kujifunza na upige kazi masaa mengi zaidi na utafanikiwa mapema zaidi
 
Ambaye angemsumbua Rais Magufuli kwenye Uchaguzi labda yule mama wa ujerumani tu.
 
Back
Top Bottom